Nimepokea maombi mengi niwawakilishe big brother mwaka huu kutoka kwa wadau muhimu,wanaona na vigezo vyote
Mimi uwa ni muongeaji sana na mcheshi pia niko cool.
Sijui mnasemaje wadau, niko...
Jennifer
Hanifa Daud(Jennifer) ambaye ni mtoto alityetamba katika filamu za Uncle JJ na This Is It akiwa na marehemu Steven Kanumba anadaiwa kulipwa si chini ya sh.million 2 za kitanzania...
Ameenda leo alfajiri tegemea mambo mazuri zaidi toka kwa Bongo fleva prince anaewakilisha vyema nchi yetu.
Nikukumbushe tu kuna project na Iyannya itakayotoka mapema march kaa karibu na mm kwa...
Vijana ni nguvu kazi ya taifa, lakini vijana hao hao wanaweza kuwa chanzo cha taifa kutoendelea na kubomoka. Ubomoaji wa taifa
huwa kwa namna nyingi ikiwemo uvivu,ufisadi, na kadha wa kadha.Lakini...
Unamkubali Agnes Masogange, Basi hizi ndizo picha alizo share na fan wake wa Instagram akiwa ufukweni weekend iliyoisha.
Picha hii ameandika "With my frnd mjeda nishida tupu Leo na Cheus...
MISS Tanzania 2011, Salha Israel ameweka bayana bila ya woga wowote kuwa, kwenye pochi yake hakaukiwi na mipira ya kiume ‘kondom', Amani linakupa kila kitu kinagaubaga.
Salha alisema...
Kundi hili lilianza kwa kasi na likawa na umaarifu mkubwa sana wakati ule likiwa ITV.
Lakini baadae wakahamia TBC ambako ndiko walikojichimbia kaburi.
Mambo mengi yamechangia anguko la kundi...
Producer wa wimbo mpya wa Ben Pol, Unanichora, Fundi Samwel ambaye ni raia wa Sweden, amethibitisha kuachana na mke wake, Saraha.
Mtayarishaji huyo amesema sababu kubwa ya kuachana ni ubusy...
Hii wiki ya Valentine naona itakuwa wiki ya kuwanasua mastaa.
Juzi tu Aunty Lulu alinaswa katika tendo la kimadavidavi na jamaa fulani na sasa Ney Wa Mitego ameingia katika list hio.
Hivi...
Ama kweli life is how u make it!
Kuna mtoto wa Mbagala anajiita Diamond Platnumz, hana hata cheti cha ufundi mwashi cha VETA lakini mkwanja anaopiga hata Professor anasubiri!
Najaribu kumuwazia...
Wengi wa wamiliki wa simu zenye uwezo wa kutunza nyimbo, lazima ukute ana wimbo fulani ama wowote ule wa msanii wa kizazi kipya, diamond platinumz. mimi mwenyewe nikiwemo wa kwanza.
Sasa nimekuwa...
BAADA ya hivi karibuni kufungiwa video ya wimbo wake, staa wa muziki na filamu Bongo, Snura Mushi amesema ameendelea kuandamwa na majanga ambapo hivi karibuni alipata msiba wa babu yake huku...
Masanja Mkandamizaji si jina geni masikioni mwa watu wengi kutokana na uwezo wake wa kuwavunja mbavu watazamaji pale anapoonekana katika runinga na Kundi la Original Comedy.
Licha ya kufika...
Iwe ni washkaji wa kitaa, wanafunzi wa sekondari na vyuoni, wasanii, wanamichezo, waheshimiwa ,n.k ni wazi ya kwamba bangi inatumiwa na watu wengi sana sikuhizi Tanzania ikiwa ni sehem nyingi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.