STAA wa Filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu' amesema hivi sasa anakesha akiomba ili mambo yaende vizuri katika kesi inayomkabili ya kumuua bila kukusudia msanii mwenzake, Steven...
MISS Tanzania 2011, Salha Israel ametoboa siri kuhusiana na mapedeshee ambao wamekuwa wakiwapa usumbufu mkubwa kiasi cha kuonekana ni janga la kitaifa kwa warembo
Akizungumza na Ijumaa kwenye...
Umekuwa mrefu tangu mwanadada Aunty Lulu kumulikwa na makazeti ya udaku. Tukio la mwisho ni lile la kuwa Aunty Lulu amepachikwa mimba na ya miezi kadhaa. Sasa ameingia tena katika mwangaza wa...
Licha ya mama yake mzazi kupinga kwa nguvu zote, staa wa filamu nchini na mtangazaji wa Kipindi cha Runinga cha In My Shoes, Wema Sepetu ameapa kwamba hata iweje, lazima msanii maarufu wa...
From On and Off Relationship mpaka kwenye hatua ya familia....I salute these Lovebirds...Hakuna mahusiano rahisi.... Ni pendo tuuuu(In Carola Kinasha's voice)
Huyu mdada ni mzuri, anajua kucheza, na mengineyo. Lakini ana tatizo katika uzungumzaji wake.
Kwa haraka haraka naweza kusema ana 'speech sound' articulation disorder. Ana tatizo kubwa la...
Wadau wa muziki wa Injili salaam.
Nimeona sehemu ya mahojiano ya msanii wa muziki wa Injili katika kituo kimoja cha Television na kama kawaida kuna wimbo wake mmoja ulichezwa. Katika video yake...
Hivi jamani aliyesema kuoa ni dhambi ni nani?......Ni vyema tukakumbuka kuwa aliyeanzisha suala la kuoana hakuwa mjinga........
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa wasani maarufu...
Leo napenda nitoe utata wa jina ninalotumia ambalo watu wameligeuza mada.hapa nazungumza na watu timamu na waelewa watu ambao wna nia ya kufaham na kuelewahii haiwahusu watu wa kuponda kila...
DMX is confirmed as George Zimmerman's opponent in an upcoming celebrity boxing match.
Boxing promoter Damon Feldman confirmed that DMX, 43, is scheduled to fight against George Zimmerman, 30...
oh baby(3x)
when wake up wake up in the morning
i see your lovely face
your cheeks like butter honey from attica
you take my breath away
your pretty little fingers so tender like petals from the...
Ni ukweli usiopingika kwamba sanaa kwa taifa hili sasa imeanza kunufaisha wasanii wengi ambao kazi zao zimetokea kukubalika sana.
Ushauri wangu ni mmoja tuu kwamba, kazi ya sanaa ni kazi nzuri...
Ni masupataa wachache sana bongo wenye uwezo wa kusema leo nataka nivae hivi na akawa navyo au leo nataka kwenda kiwanja fulani na akawa na uwezo huo au mwakahuu nataka kuendesha gari fulani na...
MSANII wa filamu na muziki, Zuwena Mohamed Shilole amefunguka kuwa kila akiandikwa kwa skendo mbaya, wanaye humsema na kumwambia hawataki kumuona akifanya hivyo tena.
Akistorisha na gazeti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.