*****KWA MASHABIKI WA HIPHOP...........
Mfano imeandaliwa show mda mmoja katika eneo moja but kumbi tofauti na kiingilio kinafanana,ukumbi mmoja kuna kundi A ambalo lina hawa wasanii [NIKKI...
Posing in a swimsuit, her figure on show, its clear Serena Williams is proud of her body. But the 32-year-old tennis master has revealed that wasnt always the case as she used to yearn for a...
The boy isn't hers anymore. Brandy and fiance Ryan Press have broken up and ended their engagement, a rep for the R&B singer confirms to sources. "They are no longer together. The engagement is...
Ongezeko la kasi ya utumiaji wa mitandao ya kijamii inaweza kuwa Great depression kwa kaka manager wa kampuni ya GPL bwana Eric james Shigongo.
Tofauti na miaka iliyopita ambapo magazeti yake...
Kwa mujibu wa rafiki kipenzi wa Mr. Nice tangu kipindi kile cha "kidali po" Wabogojo aliandika kupitia mtandao wa kujamii wa instagram kuwa mnamo tarehe 12 mwezi wa 4 mwaka huu Msanii Lucas...
MODO anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange' amepata mpinzani lakini akachomoa kuhusu suala la kufunikwa.
Modo anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald...
Msanii Snura ajikuta akinasa kwa deeJay wa Club Maisha ya Mbeya ''Dvj Hunter''
Snura Mushi na Dvj Hunter wa Club Maisha Ya Mjini Mbea wakiwa katika Poz la maha...
The kardashians sure know how to make a statement, But you would have to excuse their French, but they're in France! Kim Kardashian and Kanye West arrived in Paris over the weekend, turning...
Bosslady wa kampuni ya RJ na muigizaji kutoka Bongo movie, Blandina Chagula amefunguka kuhusu mahusiano yake na partner wake wa long time , Ray Kigosi na kusema yupo na RJ company na sio Ray...
MSANII wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja hivi karibuni alionesha jeuri ya magari baada ya kutinga nayo mawili kwa nyakati tofauti kwenye kumbukumbu ya miaka miwili ya marehemu Steven Kanumba...
Wakati waigizaji waigizaji wa nchi jirani ya Kenya na nchi nyingine za Afrika mashariki wakiota na kutamani kujulikana kimataifa waigizaji wa Tanzania wao akili yao ni kujulikana na kutajwa kwenye...
BONGO MUVI KWAWAKA MOTO
PENYE wengi pana mengi! Lile kundi la mastaa waigizaji wa Kibongo, Bongo Movie Unity, linadaiwa kuparanganyika baada ya kuwaka moto kufuatia mwenyekiti wao...
Biashara ya muziki Tanzania imeendelea kupanuka kwa kiasi kikubwa, na wasanii wenye hits, majina, connection, bahati na sababu zingine wameendelea kuingiza fedha nyingi kutokana na muziki wao...
Pamoja na kuenea kwa picha zenye utata, rapper wa Kenya, Nazizi aliwahi kukanusha taarifa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na producer kutoka Mwanza, Tanzania, Sappy ambaye kwa sasa ni...
The movie awards was concluded yesterday night and it's golden pop corn was given to only a selected few. it featured artists like ,Rihanna, Eminem, Ellie Goulding, Conan O'Brien, twenty one...
Peter posted today and wrote "MAI BIG BOY". The boy has really grown, I can feel his swagzz....Some JamiiForums chicks could be tripping for him. lol
People said he looks like his mom (Lola...
Kuna vitu vingi vilimpeleka msanii Jux nchini China ila moja ya kitu kimojawapo ambacho anakifanya nchini humo ni pamoja na ku shoot video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la...
Chelewa chelewa, utakuta mwana sio wako!! Ndicho kilichotokea kwa Juma Nature ambaye wazo lake la kuanzisha ndala liliendelea kuwa la mdomoni na kutalk the talk ilhali Jokate Mwegelo akileta...
Huyu dada alishawahi kuwa mtangazaji wa TBC hapa Tanzania miaka ya nyuma kidogo. Alijulikana kwa jina la Lisa kwenye tasnia hiyo ya habari. Nje ya tasnia ya habari alijulikana kama Pendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.