Rehema Chalamila Ray C baada ya mchakato wakutafuta logo kwa ajili ya foundation yake ya kupambana na kusaidia vijana wasiingie kwenye matumizi ya dawa za kulevya hatimaye ameanza kazi...
Nashindwa kuelewa nini kinachoendelea kati ya eric Shigongo na Magazeti yake na Wema sepetu, Juzi kati walikuwa wana ugomvi mkubwa mpaka wema akaenda kuvamia office Za kampuni ya Global publisher...
Nicki Minaj is beginning to tone down her usual outlandish/eccentric style. First was the demure dress she wore to the MTV Movie Awards last week, then she's pictured again looking quite simple...
Kama una sura kama MBUTA NANGA au LUPITA NYON'GO na una kipaji cha kuigiza basi ofisi ofisi za RJ company kwako uzione kama kituo cha polisi au ukionewa huruma utapewa scene za u house girl au...
Baada ya kuwa kimya katika akaunti yake ya instagram, Penny ambaye ni mtangazaji wa kituo cha DTV kilichopo Dar, amerudi kwa kasi katika mtandao huo baada ya kuachia picha yenye mitego...
The Queens 88th birthday has been marked across the UK with traditional gun salutes.
A 41-gun royal salute was fired in Green Park in London and a 62 gun-salute from the Tower of London.
In...
millard ayo
"Watu wangu wa nguvu, nimepata kazi ya kuwa ripota wa DSTV South Africa nikiiwakilisha Tanzania! Asanteni kwa support watu wangu...Ni habari njema sana kwangu leo hii!!!"
Source...
Former Chelsea striker and Ivory Coast soccer team captain Didier Drogba has launched his own men's underwear brand.
The 36-year-old footballer teamed up with France-based designer HOM to make...
Socialite Kim Kardashian, took a dramatic fashion turn by heading to Starbucks in LA with torn jeans which exposd most of her upper thighs. Her Elder sister Kourtney wore a less revealing...
miaka 7 ndani ya game bila kuchuja haijwaji kutokea katika historia ya mziki wa bongo kutoa hits kuanzia mwanzo mpaka mwisho mfululizo
1.kamwambia 2008
2.mbagala
3.nitarejea
4.kesho
5.lala salama...
Miongoni mwa underground wa hip hop aliyekuwa anachipukia (Suma mnazareti) kupitia label ya Lunduno siyo siri ali hit sana ! Na binafsi nilielewa sana kazi zake !
Nanukuu kutoka ngoma...
Out of curiousity guys, nothing spooky! Which bongo celebrity would u want to go out with?
Me personally ningepata nafasi hiyo ningechagua kutoka na Snura Mushi, this chick is so flirtous and...
A girl who can sing and smoke weed? You are definitely talking about Rihanna and guess what she is not shy to show her fondness for it. April 20 this year was the day millions celebrated 420 -...
Forbes, released the list today, 16th April 2014 of the wealthiest hip hop stars of 2013. it does not even come as a surprise to me that diddy is close to becoming a billionaire, neither am i...
Nakumbuka baada ya Irene uwoya kutolewa kwenye Gazeti la shigongo wakat alipofumwa hotelin wakifanya mambo yao na Diamond, ndipo bidada alipoanza kumtishia kuwa anajua uchafu wote wa shigongo na...
Namiss ladha nzuri ya aina ya muziki na mashairi yanayoakisi maisha ya mtanzania kutoka kwa makundi haya mawili ya bongofleva,sijui ni nini kimewasibu p'se rudini kwny game kwan kuna vitu fans...
Ukiachilia mbali wingi wa wasanii wanaofanya vizuri kwenye tasnia mbali mbali apa bongo, sio wote wanaobahatika kukubalika na kupokelewa vizuri na Jamii/mashabiki. Hawa ndio wasanii wenye mvuto...
wadau hebu nielewesheni kwa anaewajua hawa jamaa wa cash money i.e birdmann na kundi lake ni kweli wanamwaga dollars kwa wanawake kama inavyoonekana kwenye videos au it's not real na je ni kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.