Unawakumbuka hawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unawakumbuka hawa?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mwanagandila, Oct 17, 2011.

 1. Mwanagandila

  Mwanagandila Senior Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 182
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  wana JF naomba msaada tutani kwa aliye na data za wasanii na makundi haya yalipo kwa sasa au walipo hawa jamaa.
  The Diplomatiz,
  Afro Reign,
  Bantu Pound Gangster
  Dar Young Mob,
  Weusi Wagumu Asilia
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Walikuwa wanaimbia bendi gani?
   
 3. Mwanagandila

  Mwanagandila Senior Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 182
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  hayo majina ndio makundi yao, hawakuwa wakiimba bendi bali mzuki wa pop na hip hop mwanzoni mwa mika ya 90
   
 4. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  labda google aweza kukusaidia
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mi nilikuwa napenda traK ya Afroreign ft Dogo Hasheem~Saa Za kazi,Naona ili kundi lilikuwa linaundwa na Aboubakar Sadiq
   
 6. Mwanagandila

  Mwanagandila Senior Member

  #6
  Nov 10, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 182
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Afro Reign wakati inatamba Abubakary Sadiq alikuwa bado chalii anasoma zake Moshi huko..
   
 7. Fullfigadiva J

  Fullfigadiva J Member

  #7
  Nov 10, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KU
  D rob sasa ni marehemu RIP
  Ramson sasa nadhani ni mwanaharakati na nyabingi rastaman alikuwa akipatikana Iringa zaidi kilimo na mambo ya NGO
  Easy B aka Bernard Luanda sasa ni nyapara kule segerea kwani unga umemharibu mbaya.
  Fresh G sijamsikiaa
  Dezy niga huyu yuko
   
 8. l

  lazamwa Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  1. Eazy B yupo jela kwa saana tu, madawa yamemuharibu
  2. Weusi Wagumu Asilia (wapo na wanatamba na wimbo wao mpya unaitwa 'BADO TUPO'. jamaa yao mmoja anaitwa Rico Star bado yupo ktk muziki ila anaimba zaidi ya kurap.
   
 9. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  diplomatz ni lipo kama halipo!!!sygon yupo bongo baada ya kupigwa bomba uingereza anafanya mziki kama solo!wenzake balozi dola soul na stigo wapo viwanjani!!.......bantu pound ni kama imekufa kwani mwanamuziki pekee anayesikika ni soggy doggy hunter ambaye yupo na vinega!hao afro reign mara ya mwisho kusikia ni bonny harmony katika ngoma ya saa za kazi akiwa na hasheem dogo sijui wamepotelea wapi!mdau aliyesema abubakar sadik alikuwa afro reign atambue kipindi hiko afro reign inatamba abubakar sadik alikuwa hajulikani na dar es salaam alikuwa anaisikia katika bomba au mpaka likizo ndefu aje kusalimia ndugu!
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2014
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  Nani ana audio za weusi wagumu asilia?
   
 11. McDonaldJr

  McDonaldJr JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2014
  Joined: Sep 25, 2013
  Messages: 5,302
  Likes Received: 4,445
  Trophy Points: 280
  Bantu pound ambae anasikika ni Soggy yupo Iringa anatangaza kwenye redio inaitwa Ebony Fm ila huwezi amini hana hata track 1 ya Bantu Pound kwenye libraly yake niliwahi kumuomba hakasema hana eti nikizipata nimpe na yeye haaaahaa.
   
Loading...