Diamond-Platnumz ang'ara tena tuzo za AFRIMMA

warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,259
2,000
Diamond ndiye aliteyajwa kwenye vipengele vingi zaidi (5) vikiwemo Msanii wa Mwaka, Wimbo wa Mwaka, Collabo bora, Video Bora ya mwaka na
msanii bora wa kiume wa Afrika Mashariki. Ben Pol ametajwa kuwania tuzo ya msanii bora wa kiume wa Afrika Mashariki, Sheddy akitajwa kuwania kipengele cha mtayarishaji bora wa mwaka, Lady Jaydee katika kipengele cha msanii bora wa kike wa Afrika Mashariki na Mrisho Mpoto akitajwa kuwania kipengele cha msanii bora wa muziki wa asili.

Hivi ni vipengele ambavyo wasanii hao wa Tanzania wametajwa pamoja na wale wanaochuana nao. Ingia hapa kuona vipengele vyote na kupiga kura. Tuzo hizo zitatolewa July 26, huko Texas, Marekani.

Artist of the Year
Flavour (Nigeria)
Davido (Nigeria)
Diamond (Tanzania)
Sarkodie (Ghana)
Mafikizolo (South Africa)
Wizkid (Nigeria)
Anselmo Ralph – A Dor do Cupido (Angola)
Jaguar (Kenya)

Song of the Year
Davido – Skelewu (Nigeria)
Mafikizolo feat Uhuru – Khona (South Africa)
KCee – Limpopo (Nigeria)
P Square – Personally (Nigeria)
Yuri Da Cunha – Atchu Tchu Tcha (Angola)
Fuse ODG feat Wyclef – Antenna Remix (Ghana)
L.A.X feat Wizkid – Caro (Nigeria)
Diamond feat Davido – Number One Remix(Tanzania)

Best Collabo
2face ft Tpain
Diamondz ft Davido – Number One Remix
Mafikizolo ft Uhuru – Khona
Dr Sid ft Don Jazzy, Phyno, Wizkid – Surulere Remix
Amani ft Radio and Weasel – ‘Kiboko
Changu' (Kenya/Uganda)
Jmartins ft DJ Arafat – Touching body
R2bess and Wizkid – Slow down

Music Producer of the year
Shizzi (Nigeria)
Killbeatz (Ghana)
Dj Oskido (South Africa)
Nash Wonder (Uganda)
Sheddy Clever (Tanzania)
Ogopa (Kenya)Don Jazzy (Nigeria)

Best Video of the Year
Psquare – Personally
Sarkodie – Illuminati
Mafikizolo ft Uhuru – Khona
Diamond Platnumz – Number One
Flavour – Ada Ada
Anselmo Ralph – Unica Mulhe

Best Traditional Artist
Flavour (Nigeria)
Kwabena Kwabena (Ghana)
Bassekou Kouyate (Mali)
Sayicology (South Africa)
Mrisho Mpoto (Tanzania)
Stanlux (Togo)
Tunakie (Namibia)

Best Female East Africa
Rema (Uganda)
Aster Aweke (Ethiopia)
Avril (Kenya)
Lady Jaydee (Tanzania)
Victoria Kimani (Kenya)
Irene Ntale (Uganda)

Best Male East Africa
Diamond Platnumz (Tanzania)
Ben Pol (Tanzania)
Bebe Cool (Uganda)
Wyre (Kenya)
Navio (Uganda)
Jackie Gosee (Ethiopia)
 

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,071
2,000
The 2014 Award Show will take place at the Eisemann Center, a prestigious performance hall venue located in the heart of Dallas Suburban district, Richardson. The elegant venue boasts an impressive track record of high profile events which include theater productions, concerts, and various performance art related events. Confirmed artists include Iyanya, 2face,Stanley Enow, Flavour, Davido, Diamond Platinumz ,Fally Ipupa, Wyre, Miriam Chemmoss and more. Here are the nominees: - Best Male West Africa Flavour Nabania (Nigeria) Wizkid(Nigeria) Iyanya (Nigeria) Sarkodie (Ghana) Dj Arafat (Ivory Coast) Davido (Nigeria) Shatta Wale( Ghana) Best Female West Africa Tiwa Savage (Nigeria) Chidimma(Nigeria) Viviane Chidid (Senegal) Teeyah (Ivory Coast) Sessima (Benin) Efya (Ghana) Best Male East Africa Diamond Platnumz (Tanzania) Ben Pol(Tanzania) Bebe Cool(Uganda) Wyre (Kenya) Navio (Uganda) Jackie Gosee (Ethiopia) Best Female East Africa Rema (Uganda) Aster Aweke(Ethiopia) Avril (Kenya) Lady Jaydee (Tanzania) Victoria Kimani (Kenya) Irene Ntale (Uganda) Best Male Central Africa Fally Ipupa (DR Congo) Stanley Enow (Cameroun) Ferre Gola (Congo) Privato “Lill’P”....


 

Toria

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
1,178
0
Watu wanaonesha moyo sana kumsupport platnum;;;akipata hizi tuzo zote arudishe fadhila japo kwa kununua madawati kadhaa kwa watoto wanaosemea kwenye mazingira magum sio akajirushe tu na wema
 

leonk

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
276
0
Watu wanaonesha moyo sana kumsupport platnum;;;akipata hizi tuzo zote arudishe fadhila japo kwa kununua madawati kadhaa kwa watoto wanaosemea kwenye mazingira magum sio akajirushe tu na wema
Yes it's true, watazidi kumpenda na ngololo zake!
 

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
48,385
2,000
Yan huu mwaka ni wa kupiga kura aisee

Mara Kili Music Awards, MTv, BET, AFRIMA hapo hujaweka Uchaguzi wa serikali za mitaa.

Haya Jinsi ya kupiga kura?
 

Ngapulila

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
750
1,000
Simkubali diamond kwasababu anafanya cd playback.Awaige P square ,Banana na Lady jay dee wanaoonyesha uwezo kwa kuimba live na band zao
 

Ngapulila

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
750
1,000
muziki wa live ndio kipimo tosha.Diamond alifanya vizuri kwenye Coke studio akiimba live.Anachotakiwa ni kuhamishia majeshi kwe live music. Si lazima awe na bendi cha msingi ni kucheza beatyenye recodi ya chorus tu then mistari anaiimba live.Nina hakika shows zake zitabamba sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom