Ilimkuta wakati mgumu pale,alipoishia ndani ya mikono ya polisi wa nchini humo kwa kosa la kuzidisha muda wa kukaa nchini humo,wazungu wanaita ku-overstay,na ili kuchomoka katika msala huo...
Namshukuru Mungu kwa kipaji NA huu binafsi,ujuzi unaonipa fursa ya kufanya kaz na watu/celebs wakubwa wanaoamini uwezo wangu
Umependa kaz zangu??niguse 0762052850.
NB;Mnaouliza post nilizozoea...
Inasemekana kitendo cha Diamond kurudiana na Wema Sepetu, kimechangia kwa kiasi kikubwa urafiki wa wema na ex best friend wake Kajala kuota mbawa, inasemekana toka madame arudiane na Chibu...
Mkali wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel pichani.
Akifafanua kauli yake mbele ya kinasa sauti chetu, Aunt alisema watu wengi wamekuwa wakimtaka avae kistaarabu kwa kuwa ni mke wa...
Nick Cannon lists famous women he's slept with, mentions Christina Milian, Nicole Scherzinger, Kim K
How tacky! Who goes on a radio show to mention names of famous women he has slept with? Nick...
ELIZABETH Michael Lulu amewaasa wasichana wenzake kujitahidi kujishugulisha na kazi mbalimbali kuingiza chapaa na wasiendekeze kuhongwa fedha na mapedeshee kwani ni aibu.
Akistorisha na...
Rapper Shetta alipata ajali mbaya ya gari wakati akielekea Babati, mkoani Manyara kufanya show, lakini Mungu alimnusuru yeye na watu wengine wawili aliokuwa nao katika gari hilo.
Akiongea...
I'm just going crazyyy with these two hot chicks in Town. Here I'm talking about young celebrity from bongo movie n Ziff award winner, Hotlulu Michael, there its diva herself aka baby drama all...
Kuna watu ambao nikionaga habari zao tu huwa nakunja ndita,nawapenda tu kama binadam wenzangu but siwapendi kama 'Public figure',tabia zao or the way walivyoupata ustaa wao vinanifanya...
Miley Cyrus ameamua kuwa mwehu kivyake na kuvunja maadili bila kuogopa lolote litakalosemwa juu yake kwa kupost picha akiwa mtupu kwenye Instagram.
Jana (April 11), mwimbaji huyo...
Waigizaji wanne wa bongo movie Riyama Ally, Wastara, Cloud na Monalisa Hivi karibuni watakua na Tour Nchini Uingereza kwa ajili ya kutanua soko lao na kujitangaza kimataifa, licha ya hivyo pia...
Imeelezwa kuwa Diamond hapindui kwa Halima Kimwana kutokana na ukaribu wao wa mda mrefu, Wakati mpenzi wake Wema Sepetu akiwa hapatani na kimwana kama paka na panya, hiyo haijasababisha Diamond...
Mwanamuziki legendary kutoka bongo Fleva , Judith Wambura aka Lady Jaydee amefunguka kwa Mara ya kwanza kuhusu mwanamuzik mwenzie Ray C kuhusu scandal ya madawa ya kulevya, huyu apa Jide...
Hot in town is concerning the relationship waliokuwa nao between dj fetty na diamond the platnumz,
Kumekuwa na rumors kuwa haiwezikana watu wawili hao wakawa na ukaribu kiasi hicho, kiasi...
Msanii mkongwe wa muziki nchini Judith Mbimbo maarufu kama Lady Jaydee ameshiriki kuimba wimbo maalum wa kombe la dunia 2014 akishirikiana na David Correy na rapper wa Kenya, Octopizzo
Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.