Mapema wiki hii mke wa mkubwa Fela amelalamika kuwa wasanii ambao mkubwa Fela aliwasaidia Sasa hawapokei simu wala kutoa msaada, mkubwa Fela amekosa pesa za matibabu yupo hoi nyumbani kwake hana...
Mara mia niangalie video ya Fagilia - Mr Nice au Mtoto wa Dandu - Sina Makosa.
Sio hii takataka ya Giggy Money - Go!
Aisee hamna kitu hapa. Wimbo katumia VO ya AI, video pia katengeza kwa cheap...
Hello!
Mara nyingi watu wanataka kujua kijana Godlove pesa anatoa wapi.
Wengine wanakwenda mbali na kusema zile si pesa halisi kwamba ni pesa bandia, si kweli. Zile anazopiga nazo picha ni real...
Unakuta mtoto wa kiume naye anafurahia eti kisa gari zangu kuchukuliwa, unafurahia anguko la mwanaume mwenzio?!
Ni Bora Mimi nimewahi kumiliki hizo gari, wewe je? Kama gari zimechukuliwa ila...
Tunaomba iwe kweli hii habari ya chief godlove kufulia na kunyang'anywa magari aliyokuwa anajigamba nayo kumbe siyo yake.
Vijiwe na vibaraza vya umbea vimechangamka balaa. Mitandao ya kijamii...
Miaka ile meneja wa Yamoto Ndugu Saidi Fela, kuna nyumba aliwajengea/aliwanunulia vijana wake wa Yamoto bendi.
Hivi zile nyumba walipewa jumla au zilikuwa geresha tu za Bwana Fela!?
Burna Boy has made history in 2025 with 1.986 billion Spotify streams, becoming the most streamed African artist.
Nigerian superstar Burna Boy has made history as the most streamed African...
Msanii wa Bongo Fleva Ali Salehe Kiba, maarufu kama Alikiba, amesema kuwa kila mtu ana haki ya kueleza kile anachojisikia, na ni jambo jema watu kutoa yaliyo moyoni mwao. Alikiba ameeleza kuwa...
Mtengeneza Maudhui Maarufu wa Marekani kupitia YouTube, Mr. Beast naye Ametangaza rasmi Kuwa atatembelea Nchi ya Kenya baada ya kutoka Dubai na baadaye kwenda Ghana na Mexco hivi karibuni...
Je huu ni uzuzu, uzezeta, au ulimbukeni? Kwani umaarufu mpaka utoboe masikio na kuvaa heleni? Haya, hiyo haitoshi sasa wasuka twende kilioni na mkorogo wapaka.
Acheni hizo bana, mnatudhalilisha...
Ommy Dimpoz amewaomba msamaha kwa wale waliona wamedhihakiwa kwa kauli waliyoitoa kuwa vijana wafanye kazi waache kulalamika.
Huu msamaha ameuomba kirahisi sana
Pia Soma: Fanyeni kazi, acheni...
Burton Mwemba anajulikana zaidi kama Mwijaku.
Mara kadhaa anasikika akibrag ana degree ya mzumbe university na university of Dar es Salaam.
Sijui kuhusu UDSM ila kuhusu mzumbe. Mwijaku hana...
Mwanamke anayedai kuwa alinyanyaswa kingono na Sean "Diddy" Combs amerekebisha kesi yake na kujumuisha madai kuwa pia alibakwa na Jay-Z kwenye moja ya party.
Kesi hiyo hapo awali iliwasilishwa...
Akizungumza kwa kujiamini kabisa na mikogo yote unayoijua Wewe Meneja mzoefu wa Wasanii maarufu na wakubwa nchini Tanzania na Diwani wa Kata ya Kilungule kupitia Chama cha Mapinduzi Said Fella (...
Nimerejea Bukoba kwa likizo baada ya miaka kadhaa, na kwa masikitiko makubwa nilikumbana na hali iliyonishtua sana. Nilimkuta msanii nguli wa muziki wa asili, Saida Karoli aliyewahi kutoa nyimbo...
Kuwe ni Bongo movie, Hollywood, Disney, Pddy music na n.k
Hakuna sehemu itawaacha salama wengi labda wakubali masharti ambayo wamudu kuendelea na umaarufu.
Kuna television inaitwa Nickelodeon na...