Ni kweli kabisa lazimama tuwaheshimu wote hawa wawili.., kati ya BARAKA dA PRincE na MO MUSIC.
WOTE WANASTAHILI ''UP COMIN'' artist... Na kweli sie mashabik twawapenda wote...,,
but... But...
napenda kumpongeza msanii jembe hapa bongo KING KIBA kwa kudumu kwa muda mrefu zaidi na kuendelea kuwakimbiza kina mond na wengineo. Kwa kweli jamaa anatisha sana sauti ipo palepale na anapendwa...
Jamani Kwa ambaye ameshaweza kuangalia hili tukio anifahamishe nashindwa kuangalia
Nimelipia online ila hakuna code hakuna lolote huu usije ukawa utapeli
Nimependa sana huu ubunifu wa hawa waandaaji wa hili tamasha. Mimi ni muumin mzuri wa ubunifu ktk Biashara Na pia ni mteja mdau mzuri wa entertain-business.
Kwa mara nyingine Dogo Diamond ameweka...
Ni Watangazaji Wa KIKE Waliojizolea Umaarufu Mkubwa Mno Kwa Wasikilizaji Na Watazamaji Wakitokea Mawingu Ya Mbinguni Media Group.
Watangazaji Hao Ni " Kijana Chunusi " Na " Barabara Ya Hassani...
DOKTA amempiga stop staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel kwenda kujifungulia nchini Marekani kwa sababu hali yake ya ujauzito aliyofikia haruhusiwi kusafiri kwa kutumia usafiri wa anga kwenda...
Familia ya ‘President' wa Kruu ya Wasafi, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' imeamua kuweka kikao kummbana staa huyo aweke wazi kama ni kweli ana uhakika mimba aliyonayo mjasiriamali...
Ile show ya kijanja inayosubiriwa kwa hamu kutoka kwa mtoto mkali aka malkia wa East Africa,Malkia wa swaga East Africa, mwanamke mzuri kuliko wote East Africa, Mwanamke Tajiri kuliko mastaa wote...
LOTUS KYAMBA kathibitisha kupitia kipindi chake cha Nirvana kwamba mimba aliyonayo msababishaji ni mwanahiphop Roma Mkatoliki na anampenda sana. Big up Roma kwa kutarajia kuongeza kiumbe kingine...
Ningekuwa na uwezo wa kuzaa ningekuwa nimezaa muda mrefu sana.But sina na siwezi kumkufuru mwenyezi mungu.Au mngependa niwe nawaambia jinsi ninavyo hangaika usiku na mchana kupata mtoto wangu...
Meya Jerry Silaa akiwa anafungua gari lake aina ya Toyota IST alilofanikiwa kulinunua hivi karibuni tu ambalo limegharimu muda mrefu kulipata gari hilo ambapo anasema lilikuwa ni ndoto yake muda...
Here is a letter Diamond wrote to promoters in Kenya giving them conditions that they must meet before he performs.
First of all the team is going to Include 10 people.
You will have to manage...
Jinsi ya kumpigia kura Millard Ayo:
1)Mtangazaji wa radio anayependwa:TZW1E kwenda 15678.
2) Kipindi cha radio (Amplifaya): TZW2B kwenda 15678 na,
3) Website inayopendwa (millardayo.com)...
wazoefu wa kina Dinazarde Heaven on Earth na wengine mje mtamwambie ni miezi mingapi sasa.Hivi warumi aunt alienda lini marekani kutangaza utalii ili tuhesabu siku vizuri
Nimesikia matangazo ya redio clouds kuwa siku ya ijumaa keshokutwa patakuwa na interview ambayo atakuwepo zari na diamond, itaonyeshwa live na itakuwa live redioni. Atakuwepo Gerald wa...
Siku chache baada ya msanii wa maigizo nchini, Elizabeth Michael, maarufu kama lulu, kufunga account zake zote za mitandao ya kijamii, kwa kile kinachodaiwa kukwepa matusi na kashfa kutoka kwa...
hivi ni wanamziki gani ambao mpaka sasa wametoka na kujulikana kimuziki ndani na nje ya nchi kwa kutegemea zaidi kiki za kubadili wanawake/mademu kama nguo,kuna wengine mpaka sasa wanatoka na...
Yule dada aliyedai kufunga ndoa na Hussein Machozi ameibuka na kusema haya maneno kwa uchungu baada ya Hussein Machozi kudai anatafuta kick na si kweli kwamba walifungua ndoa :
"Hey jameni hebu...
Hivi mbona wasanii wengi wanapenda sana kuandikwa magazetini, kuna wengine wanaonga vyombo vya habari huku wengine wakijitaidi kutengeneza skendo mradi tu watokee magazetini.
why wanapenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.