Juma Nature anaamini kuwa akiamua kugombe ubunge wa Temeke ataupata kirahisi.
Nature ameiambia XXL ya Clouds FM kuwa alishafuatwa na baadhi ya viongozi wamkita agombee nafasi hiyo...
Habari za muda huu,
Jana nilikua naangalia hii filamu 'The Shock' huyu dada aliegiza kama demu wa pembeni wa Kanumba si mchezo, 'ameumbwa na akaumbika'. Tena nahisi Mola alimuumba asubuhi na...
"My best #Tbt kwa mara ya kwanza napanda ndege asee na Alienitoa ushamba ni baby wangu mwenyewe japo kazaliwa igunga na mimi mtoto wa dar lakini kanipandisha ndege ahahaha ...Usimdharau Mtu...
Atleast wao wanaimba kwa mafumbo sana kiasi kwamba watoto na vichwa maji kama mimi hatuwezi kuelewa kinachoongelewa, ila huyu brother wao Mh Temba alikuwaga noma tena naona sikuhizi kapunguza. Leo...
When some of us aren't having any sex at all, Kim Kardashian is having too much of it. Lucky woman...lol. The reality star said she'd been warned by her doctor to cut down on how much sex she's...
Kwa nini Suge knight anapewa bond kubwa na Robert Durst serial killer wanamwachia kila siku .Robert durst alikiri kumkatakata mtu na kumtupa baharini.Mie naona Rap music ndio inasababisha yote...
Muda huu sasa hv, leo tarehe 21/03/2015 naangalia mahubili ya mzee wa upako,hahahahaaaaa huyu mzee ana mapambio mapya maana sijawah kuyasikia sehemu yoyote, hili la leo ndo limeniacha hoi...
Habar wakuu,
Katika maisha, kila mtu huishi kwa njia tofauti, na wengine huishi kwa kuamini kuwa ipo siku watatoka na kufanikiwa kimaisha kupitia kitu flani (live 4 ur dream).. Binafsi mimi...
Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amedaiwa kuwa na tabia ya kumpiga mizinga (kuomba fedha) mume mtarajiwa wa mwigizaji Wastara Juma, Mark Edi.
Staa wa sinema za Kibongo...
NYOTA wa filamu za Kibongo, Haji Adamu Rajabu ‘Baba Haji' amefunguka kuwa, soko la filamu Bongo kwa sasa linashuka siku hadi siku na sababu kubwa ni wasanii kutopenda kwenda shule...
Habari wanaJF
Kuna mambo yanayoendelea kwenye social media huwa yananishangaza sana. . Nayo ni haya mambo ya kuwasema vibaya sana hawa celebs. . Nakiri kuwa kwenye kosa ni muhimu kukosoa, na...
Msanii Dudubaya aka Kapafona aka Mapafu ya mbwa ameingia katika Skendo nyingine baada ya kushutumiwa kutaka kuiba simu ya mdau mkubwa wa Twanga pepeta ajulikanae kama Mapao ambae alikuwa amekaa...
Mwanamuziki wa bongo flavor ajulikanaye kama Ney wa Mitego ametangaza kuwa baada ya kujipatia watoto watatu, hana tena mapenzi na mama watoto hao bali ana mapenzi na watoto hao.
Kwa kauli hiyo...
Baada ya kuonekana video kwenye account zao Wema Sepetu na Millard ayo na wakitaka watu wabashiri inahusu nini hiyo video "the package", Leo imejulikana ni tangazo la gari jipya aina ya Mitsubishi...
Daah Naona Jamie Fox anamla x-wife wa Tom Cruize
Katie Holmes and Jamie Foxx dance at Hamptons event in Summer 2013 (WireImage)
August 2013: Jamie and Katie dance, drink, and flirt at a...
UTAJIRI wa komediani maarufu Bongo, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji' ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wACanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo...
Bi dada Wema Sepetu ambae ni mwigizaji katika tasnia ya Bongo Movie amefunguka na kuweka wazi kuwa urembo au kupendeza tu haitoshi katika maisha ya binadamu bali jambo kubwa na la msingi katika...
Jana nimemsikiliza Happiness Magese Clouds TV, anadai anafanya awareness ya tatizo la uzazi ambalo amekumbana nalo yeye binafsi, anadai anafanya hivyo kwa sababu anaamini wamama wengi wa kiafrica...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.