Huyu ndio binadamu maarufu duniani, hadi wewe unamjua...

appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
4,899
1,642
Mchezaji nyota wa Real Madrid ya Uhispania na Ureno Christiano Ronaldo ndiye binadamu maarufu zaidi duniani kwenye Facebook.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 30 amempiku Mwanamuziki maarufu kwa kunengua kiuno Shakira na wafuasi zaidi ya milioni 107.

Ronaldo anawafuasi 107,096,356 wakilinganishwa na 107,087,100 Shakira, Ronaldo aliweka rekodi kwa kuwa mchezaji maarufu zaidi duniani alipotimiza wafuasi milioni 100 mwezi Oktoba mwaka uliopita.

Nyota huyo wa Real Madrid alijiunga na mtandao wa kijamii wa Facebook mwaka wa 2009.

Na si hapo alikothibitisha udedea wake,Ronaldo anazaidi ya wafuasi milioni 34 katika mtandao wa kijamii wa Twitter ambako anaorodheshwa katika nafasi ya 13.
 
Yawezekana ukiitazama kiundani.

Kama watumiaji wa fb 100ml wanamjua jumlisha na watumiaji wengine wa fb ambao wanamjua ila hawaja like/follow kwenye page yake jumlisha Na wengine wote wanaomjua ambao hawapo fb. Its like 1bn people
 
CR7 ni supadupa star, mwakajana mwanzoni Shakira, Eminem,Bieber,Rihanna walikuwa wanamzid kwa likes nyingi fb but after 1 year wote kawapiku, inaonekana umaarufu wake unamultiply kwa kasi
 
Pele naye asemeje? Huo ni umaarufu wa kwenye social networks tu.
with that avatar, omg, u old princes of mine... you make my heart beat faster, body temperature, going higher and my heart.. NO, for a very specific reason, let me hold it back!
 
like file ambafyo mi penda wewe... wallah tena! hivi kule kwa shule ako hakuna program ya memkwa? ili nikuje kusoma??
tunataka tuweke kituo cha kurisiti mitihani nifah we team messi nini...!
mwaka huu uefa ndoo ya kumi na moja tunabeba!!
 
Last edited by a moderator:
with that avatar, omg, u old princes of mine... you make my heart beat faster, body temperature, going higher and my heart.. NO, for a very specific reason, let me hold it back!

Hii avatar bora abadilishe wewe ni mtu wa 10.
 
tunataka tuweke kituo cha kurisiti mitihani nifah we team messi nini...!
mwaka huu uefa ndoo ya kumi na moja tunabeba!!
mnh! habari za kituo cha kurisiti humo humo, mambo ya nifah na Messi wake humo humo!!! Au umei-miss syllabus ya Mungai??!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom