Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hivi mbona wasanii wengi wanapenda sana kuandikwa magazetini, kuna wengine wanaonga vyombo vya habari huku wengine wakijitaidi kutengeneza skendo mradi tu watokee magazetini. why wanapenda...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Huyu dada anafanya poa sana na single yake mpya ya "Na yule ". Ni mmoja kati ya zao kutoka nyumba ya vipaji, Tanzania house of Talent, huu wimbo wake mpya ni shidaa. Ana sauti nzuri, pia...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Mwaka huu umekua mwaka wa neema kwa mrembo wa Tanzania 2006 Wema Abraham Sepetu, Hii kutokana na muda haujapita sana alipochaguliwa kuwa balozi wa mistubishi new model akiwa pamoja na Millard Ayo...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Huyu jamaa pia yupo kwenye lebo ya CMB iliyo chini ya Birdman,ni hatari sana huyu mtu hasa kwa ile style yake ya umbrella flo,ukitaka kuthibitisha hilo tafuta ngoma zake kama...
0 Reactions
42 Replies
14K Views
Hakuna vipengele vinavyoniboa kwenye Tuzo za watu, kama hivi vya sijui mwanamuziki na muigizaji anayependwa, binafsi sioni kama kuna mantiki apo, yani msanii ata kama hufanyi vizuri ila kwa kuwa...
14 Reactions
48 Replies
5K Views
Waganga wa kienyeji wanaotoka katika maeneo tofauti nchini Tanzania wamejitolea kumtibu Msanii WemaSepetu aweze kupata mtoto. Kulingana na gazeti la The Standard nchini Kenya Waganga hao...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Baba wa kambo wa Kim Kardashian, Bruce Jenner ameweka wazi kwa mara ya kwanza uamuzi wa kujibadilisha kuwa mwanamke.”alisema. “Ni ngumu kwa watu kuelewa hilo lakini hivyo ndivyo nafsi yangu...
0 Reactions
48 Replies
15K Views
Nimesikiliza kibao kipya kutoka kwa sauti souls kinaitwa NEREA, aiseeh jamaa wanaweza, wimbo mzuri pia una ujumbe mzuri sana. Binafsi nimewakubali.Jamaa wameimba kwa hisia sana. Kazi nzuri sana...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimependa sana huu ubunifu mpya wa mwanamuziki Benpol, audio yake ilinichosha kidogo, sio kwa kuwa wimbo mbaya la hasha!, ila haya mambo ya kuimbia mapenzi tu mara wanjera, sijui masogange na...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
mmh.sijui ndio matunda au matokeo ya uswahiba ila ki ukweli pale hakuna kipaji cha kutisha ni msanii wa kawaida sana kama msaga sumu, yetu macho ni hii ndio bongo bana. sijui baada ya uchaguzi...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Majina yaliongia kwenye hatua ya tano bora kwenye Tuzo za Watu 2015 yametangazwa rasmi Ijumaa hii. Hiyo ni baada ya siku kadhaa za kuhesabu mapendekezo yaliyokuwa yakitumwa na wananchi kwa kipindi...
2 Reactions
52 Replies
8K Views
Imethibitishwa kuwa mwamuziki LADY JAYDEE ndiye msanii pekee nchini( kwa wasanii wa kike na wakiume) anayeongoza kumiliki tuzo nyingi zaidi ndani na nje ya nchi. AWARDS WON-2001 to 2014 2001-...
16 Reactions
198 Replies
23K Views
Mkali wa sinema za Kibongo, Aunty Ezekiel aka cheusi dawa amesema anatamani iwe leo au kesho apate mtoto kwani umri wake unaruhusu. Akipiga stori mbili- tatu na paparazi wetu, Aunty alisema kuwa...
0 Reactions
125 Replies
18K Views
HISTORIA KWA UFUPI Wastara alizaliwa mwaka 1983 katika Hospitali ya Turiani iliyopo wilayani Mvomero mkoani Morogoro akiwa ni mtoto wa tano kati ya saba waliozaliwa katika familia yao...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Muigizaji mwenye mvuto wa kipekee na mwenye haiba ya upole bongo movie, Jennifer kyaka aka Odama mambo yake ni super ile mbaya, anaweza kuwa ndiye msanii pekee apa bongo movie anayeishi maisha...
0 Reactions
1K Replies
99K Views
Katika Account yake ya Instagram, Wema amempigia kampeni mgombea wa Urais, Bwana Joseph Josephat katika Uchaguzi unaotegemewa kufanyika wiki hii.
0 Reactions
38 Replies
8K Views
wakuu hii colabo itafanyika washington DC . kijana K 4 REAL anazidi kupaa
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Baada ya mtangazaji maarufu nchini, zamaradi mketema, kujifungua mtoto wa mwingine ,mashabiki wake wamemjia juu mtangazaji huyo na kudai kuwa kitendo cha kuzaa nje ya ndoa ni kosa kwa mtoto wa...
0 Reactions
136 Replies
27K Views
Taarifa zilizotua kwenye dawati la gazeti hili zinadai kuwa, wale wamama wa mjini ambao walikuwa mashosti hadi kufikia hatua ya kusema ni kama ndugu, mama wa aliyekuwa staa wa Bongo Movies...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Zikiwa zimebaki siku 9 kabla ya pambano lilopewa jina la ‘Fight of the Century' kati ya mwanasumbwi tajiri zaidi duniani ‘Floyd Mayweathe Jr' ambaye ana rekodi ya kutopoteza pambano...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Back
Top Bottom