Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Taarifa zilizotua kwenye dawati la gazeti hili zinadai kuwa, wale wamama wa mjini ambao walikuwa mashosti hadi kufikia hatua ya kusema ni kama ndugu, mama wa aliyekuwa staa wa Bongo Movies...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Zikiwa zimebaki siku 9 kabla ya pambano lilopewa jina la ‘Fight of the Century' kati ya mwanasumbwi tajiri zaidi duniani ‘Floyd Mayweathe Jr' ambaye ana rekodi ya kutopoteza pambano...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
TupacI been shot and murdered, can tell you how it happened word for word But best believe n--s gon' get what they deserve Tupac rapped these prophetic lyrics just two months before he was...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Baada ya hivi karibuni staa aliyefanya vizuri kwenye movie ya CHAUSIKU, Shamsa Ford kutangaza rasmi kuachana na aliyekuwa mume wake, kwa kigezo kuwa mwanaume huyo alikuwa akimtesa na kumpiga kwa...
0 Reactions
191 Replies
35K Views
jamani mmeipata hii msanii shilole yupo E.FM radio anaongea kingereza bana. yaani IS na WAS kibao. na mimi naenda kujifunza kingereza sikubali yaani mpaka huyu?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamaa ambaye inasemekana ni rafiki wa karibu wa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu' aitwaye Morris Sekwao ‘Junior' inadaiwa amepata msala ‘hevi' baada ya...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Akiongea na kipindi cha Ng'ari Ng'ari cha Clouds TV, Diamond alisema wakati wako pamoja waliwahi kuzunguka kwa wataalam mbalimbali kujaribu kupata tiba lakini hawakufanikiwa. Alisema ilifika...
2 Reactions
202 Replies
28K Views
Ni miaka mi3 sasa toka huyu jamaa atutoke duniani, lakini pengo lake linajidhihirisha kila kukicha.. Jamaa alishapiga hatua nyingi za kuonesha kua alikua anaelekea kwenye mafanikio zaidi ya...
2 Reactions
47 Replies
54K Views
Nilikuwa nikifuatilia vioja mbalimbali vinavyojitokeza na vinavyoendelea kujitokeza, nikagundua kuwa washiriki wa miss 2006 baadhi yao wanajihusisha na kujitangaza sana kwenye vyombo vya habari...
1 Reactions
79 Replies
36K Views
Ni yule producer matata sana kutoka mwanza alie andika ngoma inayopendwa na wengi na kumpa baracka da prince afanye yake,nazungumzia siachani nawe,Goodluck gozbert a.k.a lollipop ametoa kichupa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nay wa Mitego ni mtu wa maamuzi na mapenzi tofauti na wengine. Ndio maana ukiingia ndani kwake utakutana na sanamu isiyo ya kawaida – ni sanamu ya shetani! Rapper huyo ameiambia Bongo5 kuwa...
0 Reactions
141 Replies
32K Views
Weekend iliyopita Escape One kulifanyika show iliyowakutanisha mastar wakubwa ndani na nje ya TZ kama Christian Bella, Ruby, Ali Kiba, Kassim Mganga, Ommy Dimpoz,Msami, na Alicious kutokaKenya...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
06. Ommy Dimpoz Dimpoz anamiliki Mark x yenye thamani ya zaidi ya milioni 30. 05 . Ney wa Mitego Ney wa mitego naye anamiliki gari aina ya Mark X yenye dhamani ya...
2 Reactions
134 Replies
56K Views
jamani K 4 REAL ndio katoka na masong makali ya MWANA na CHEKETUA na leo nilisikia CHANEL .O. wakizungumzia hizi songs na kuna tetesi zitapigwa katika stesheni za nje. so nawataka wasanii wengine...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hivi davido alivyosema kuwa wanamziki wetu wamekua wakifanya cheating ili kujipatia tuzo mbalimbali za africa alimaanisha nini?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hii ni kauli ya Msanii na Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, ndugu Afande Sele (MB. Mtarajiwa). Afande ametoa kauli hiyo na kuongeza kwamba hatokuwa na budi kunyoa rasta na kubadili...
0 Reactions
55 Replies
8K Views
ELIZABETH Michael ‘Lulu' anayetesa katika filamu za Kibongo, yupo kwenye bifu zito na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2012, Husna Maulid ambaye anadai amempora bwana'ke. Habari zinaeleza...
1 Reactions
140 Replies
78K Views
Habari wanaJF, Nipo nasikiliza Hot 96 radio ya Kenya namsikia DJ Mafuvu anagonga Bongo Hip Hop za hatari ndani ya kipindi cha Mistari, Je ndio DJ Mafuvu kala shavu kwa mzee Kenyatta!?
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Nimeamka leo nawakumbuka tu hawa jamaa, i had mad love kwao. Walikuwa na vipaji vya pekee na hatari, kizuri zaidi waliwakilisha napotokea. Mara ya mwisho niliwasikia kwenye 'Nenda' waliyofanya na...
5 Reactions
61 Replies
13K Views
Wa Michezo Hapa Nchini Tanzania Maulid Baraka Kitenge Kwa Kuwa Mbunifu Na Kuwa Na Vipaji Vingi. Kwa Sisi Wapenzi Wa Kipindi Cha Michezo Cha E FM 93.7 Habari Ya Mjini Cha Sports Headquarters Kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom