Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Dalali, Mar 18, 2010.

 1. D

  Dalali Member

  #1
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  VIKKY KAMATTA DADA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA

  Nimesoma kwenye gazeti moja hivi kwenye page ya katikati inaeleza kuwa uyu dada yeye anamafanikio makubwa sana kwaville amemaliza masters ya uingereza na kuafaulu vyema, na muimbaji mahili anaeijuwa kazi yake, na mfanyakazi wa BOT. ila nilipata NEW kuwa vikky alifeli uko SOUTHAMPTON SOLENT UNIVERSITY UK. JE ni KWELI NA NI KWELI KASUBMITH CHETI FEKI BOT. sasa kama dada vikky unavimeo na kunawatu uliosoma nao wanajuwa sasa yanini kujitowa magazetini kila siku mama. EBU SOUTHAMPTON SOLENT PRODUCT TUPENI DATA tumechoka kubebana kila siku kawasababu ya nanii kuna ndugu yangu alionekana ni forgel alikosa kazi BOT why vikky she is still in.
   
 2. D

  Dalali Member

  #2
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  VIKKY KAMATTA DADA MWENYE MAFANIKIO MAKUBWA

  Nimesoma kwenye gazeti moja hivi kwenye page ya katikati inaeleza kuwa uyu dada yeye anamafanikio makubwa sana kwaville amemaliza masters ya uingereza na kuafaulu vyema, na muimbaji mahili anaeijuwa kazi yake, na mfanyakazi wa BOT. ila nilipata NEW kuwa vikky alifeli uko SOUTHAMPTON SOLENT UNIVERSITY UK. JE ni KWELI NA NI KWELI KASUBMITH CHETI FEKI BOT. sasa kama dada vikky unavimeo na kunawatu uliosoma nao wanajuwa sasa yanini kujitowa magazetini kila siku mama. EBU SOUTHAMPTON SOLENT PRODUCT TUPENI DATA tumechoka kubebana kila siku kawasababu ya nanii kuna ndugu yangu alionekana ni forgel alikosa kazi BOT why vikky she is still in.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Iko kazi
   
 4. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Sijakuelewa hebu iweke sawa hii kitu ili ueleweke naona BOT. mafanikio, alifeli, Southampton chuo yaani bado kidogo
   
 5. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  ajira za BOT si zinajulikana zinapatikanaje??????????/........... ya nini kuuliza majibu hapa?...........
   
 6. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Acha tu usiingilie chakula ya watu wa matawi ya juu
   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Oh ndugu yangu Dalali, kuwa makini yasije yakawa yale ya Ndugus Babu Seya na Amatus Liyumba!! Siri nzito!!
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Hili nalo Neno
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mkuu wewe jali khamsa zako ama laa utatupwa gizani sasa hivi
   
 10. i

  indigwe Member

  #10
  Mar 18, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi tutaondokana lini na hili jinamizi la kupea ajira kwa kutumia undugulaizesheni ambao haujali taaluma ya mtu maana haungalii hata uwe ungumbaru kinachojaliwa ni memo imetoka kwa nani .Hebu na tuwape nafasi watu waliofaulu kiukweli ili nao wafaulu matunda na kusongoka kwao.
   
 11. i

  indigwe Member

  #11
  Mar 18, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama kuna waliosomanaye huko uk basi watufahamishe kama alimaliza au la na hata kama yeye anaweza kututhibitishia
   
 12. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wawezekana alikuwa anajirusha sana balaya ya kusoma ndio maana kafeli kama kwenye picha hii
   
 13. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wawezekana alikuwa anajirusha sana balaya ya kusoma ndio maana kafeli kama kwenye picha hii
   

  Attached Files:

 14. M

  MzeePunch JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,412
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Huyu mdada kichwani hamna kitu kabisa. Alisoma certificate course pale Nyegezi (St Augustine University) akitokea huko bush alikokuwa anafundisha shule ya msingi, na baadaye alifanya advanced diploma ya mass communication hapo hapo Nyegezi. Aliibuka wakati wa kampeni za 2005 akiimba imba, na ndipo fataki mmoja maarufu akamnasa. Kwamba alienda kusoma Masters ni ajabu na kweli. Waliosoma naye Nyegezi wanasema kichwani ni mtupu vibaya sana! Kuna tetesi pia kwamba amezaa na huyo fataki kiongozi.
   
 15. D

  Dalali Member

  #15
  Mar 18, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  iyo ni habari kwenye gazeti ambalo nimesoma kuwa ni binti mwenye mafanikio. sababu amemaliza masters unchini uingereza, mfanyajkazi wa BOT na ni msanii mzuri tuu. but i gad i news kuwa uyu binti itakuwa anabebwa na sababu iyo masters inasemekana alifeli ila ana cheti cha masters ambacho chaisabika ni feki , na idara usika wanajuwa kwanini wengine wasimamishwe iwe yeye. sasa inawezekanakuna mkono wa mtu sasa kama kuna mtu alimaliza uko southampton solent atupe habari. ili tuweze kusibitisha maana kubebana kumezidi na short cut nawakati watu wana maqualification na bado wanasota majumbani.
   
 16. n

  najma Member

  #16
  Mar 18, 2010
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi sipo hapo,


  yaani munamuongelea mtu ambaye hata moja jumlisha moja hajui; kweli tulikuwa nae uku SOUTHAMPTON SOLENT UNIVERSITY, mwaka jana alipata bahati yakumaliza ila hakupata bahati ya kupata cheti sababu alifelikwakuwa hakuweza kusoma ni bichwa bule, hata assignment alikuwa anafanyiwa basi ikamkumba zoa zoa. kama ni kweli ana cheti feki sikatai sababu kuna mtanzania yupo IT ni rafiki yake inawezekana kamtengenezea si nembo london ni pound 20 ila kama umnataka uwakika fuatiluia www. solent.ac.uk. au fuatilia facult of Business and Sport na ID yake ni kamav36 ya shule. kweli tanzniammeoza hata sisi tuna iyo habari ila hatukuwa na uwakika, kwa zaidi request graduate list 2009 hata jina lake halikutoka na wazungu hawana typing error kila kitu electronical.

  nazani dalali umeelewa kama unataka zaidi uliza nikupe hata post code nchi imeoza
   
 17. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2010
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  JE anahusiana na Judge Samatta?if so,hakuna la kuuliza.Ndio bongo yetu.
  Uingereza vyuo vingi mediocre vya kihindi vinatoa mediocre MBA ya University of Wales.Najua
  watz wengi wamesoma vyuo hivi na kupata MBAs hizi,very very basic.afadhali usome MBA Udsm
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  this is a serious matter na nadhani kuna haja ya kufuatilia hili arudishe pesa za serikali au atoe genuine vyeti!!!

  Enough with ujinga kisa una contacts za watu fulani~!!! nina imani hata huyo anayedhaniwa atamlinda akisikia upuuzi huu hataweza kumsamehe
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Yaani mimi sishangazwi na lolote hapo........
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Edson, cheki kidogo lugha yako na kama unaweza edit... maana umekua too explicit and you didnt put any viewers advisory kwenye bandiko
   
Loading...