Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Watangazaji wa kipindi cha Transformer cha E FM wamekosoa mtindo mpya wa nywele wa Harmonize, wakifananisha muonekano wake na ule wa msanii Harmo Rapa.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Njaa haina Baunsa na shida zisikie tu. Mzee wa Upako Antony Lusekelo ajisalimisha kwa kiboko ya wachawi Buza kupata huduma. Nani anamloga huyo mzee wa Upako? Laa dunia hii isikie kwenye radio.
11 Reactions
39 Replies
11K Views
Angalia pia https://youtu.be/53MhmoFZAN4?si=xlqIQQBbe9T22_kH
0 Reactions
0 Replies
473 Views
Baada ya vurugu na purukushani za EFM na Wasafi Media ambapo zimepelekea kwa watangazaji mbali mbali kuhama katika vituo hivyo vya burudani, msanii Harmonize ameujulisha umma kupitia ukurasa wake...
12 Reactions
29 Replies
4K Views
Wale madada warembo watatu waliotamba Bongo flavor miaka ya 2000 mabinti wa Kipozi Unique Sisters/ Dadaz wako wapi siku hizi na wanafanya nini? Walikuwa wanaongea kijapani kilichonyooka...
9 Reactions
140 Replies
15K Views
Zikiwa zimepita siku 44 (wiki sita na siku 2) tangu aliyekuwa mnenguaji bei mbaya nchini, Monica Vincent ‘Diana Aston Villa' afariki dunia, kauli nzito aliyoitoa mwaka jana alipokuwa...
7 Reactions
212 Replies
69K Views
Wakuu Kamati ya wana apolo imekaa na kujizatiti kumfundisha adabu mc pili pili kwa kufanya makosa yafuatayo 1.kutangaza mahari ya mchumba wake kua ni milioni nane ambazo anaona ni nyingi na tena...
12 Reactions
67 Replies
10K Views
Uyu mdada anaitwa nani? Kiukweli anajua sana. Mdada hachoki kumsikiliza.
1 Reactions
2 Replies
713 Views
#1 Taylor Swift #2 Rihanna #3 Beyoncé #4 Adele #5 Katy Perry #6 Lady Gaga #7 P!nk #8 Ariana Grande #9 Miley Cyrus #10 Alicia Keys #11 Kelly Clarkson #12 Mariah Carey #13 Carrie Underwood #14...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Hili jambo la mwanaume kupiga goti wakati wa kumvalisha pete mchumba naona linazidi kukomaa,si utamaduni wetu japo sio mbaya sana kwani ni effects za globalization kwenye muingiliano wa...
30 Reactions
857 Replies
76K Views
Baada ya say b, sister p na rah P kustaafu mziki sasa kuna ingizo jipya naomba sikiliza utojutia 😋😋😋
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Ndoa ndoano! Mambo sio mambo! Muigizaji aliyegeukia biashara, mwanadada Jackline Wolper Massawe ‘Wolper’ inaripotiwa kupata bwana mpya baada ya ndoa yake kukumbwa na sintofahamu nyingi...
23 Reactions
284 Replies
47K Views
Sallam SK aka Mendez ambaye ni international manager wa Msanii namba moja Africa yani Diamond Platnumz ametoa pongezi jinsi Yanga inavyofanya vizuri kwenye kuwaongezea thamani kwenye chapa zao...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Baada ya Michael Jackson kuachia albamu yake ya tano iliyoitwa Off The Wall mnamo 1979, alikatishwa tamaa na mwenendo wake. Licha ya kusifiwa kuwa albamu hiyo ilifanya vizuri hasa kwa kuuza...
2 Reactions
6 Replies
910 Views
Wako wap hawa wakali wa michano enz hizo ?Wako kimy sanaaa tumewamis san mashabik
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Askari wakamatwa kwa kuuza risasi Anna Makange, Tanga Daily News; Tuesday,October 28, 2008 @00:02 Polisi mkoani hapa inawashikilia askari wawili wa Gereza Kuu la Mkoa wa Tanga, Maweni...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
From attending Holloway Comprehensive in north London to roaming around Monaco with a son of a brutal dictator, who was carrying suitcases of money, Jay Bothroyd wondered how his life had taken...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Muigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, Steven Nyerere, ameonyesha kutoridhishwa na hatua ya mfanyabiashara Niffer kumjibu Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, kupitia mitandao ya kijamii. Hii...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kushtua msanii mkongwe kiwanda cha Bongo movie nchini Miliamu Jolwa maarufu kama Jini Kabula ameibuka na kusema kuwa hakika gonjwa hatari la ukimwei...
4 Reactions
128 Replies
44K Views
Hatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi!
18 Reactions
95 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…