Ndiyo nani? Alikua anagombea nafasi gani? Mkoa gani?Hatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi!
Haha 🤣🤣Ndiyo nani? Alikua anagombea nafasi gani? Mkoa gani?
MkuuMwanaume kuwa na wivu kwa mwanamke asiyekuhusu inashangaza sana. Kwamba unamuonea wivu wolper kuolewa daah mkuu pole sana.
Nyuki hakumbatiwiHatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi!
Pisi kali acha jazbamwanaume mzima unaleta umbea usio na kichwa wala mkia tena kwa mwanamke,emu twambie amekumbatia bomu kivipi au mama P ni mchepuko wako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu hapa JF wanaonangwa ni Wazaramo na Wasukuma lakini ukimsema Mchagga utaaambulia mashambulizi.Hatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi!
hamna kwa nini awanenee mabaya as ye anamjua sana bibiePisi kali acha jazba
Huuu ndo uchawi wenyewe...wabongo acheni roho mbayaHatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi!
Atatiwa madole mpaka akomeHatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi!