Roberto Carlos, beki maarufu wa zamani Real Madrid, anaripotiwa kuishi katika uwanja wa mazoezi wa klabu ya, Real Madrid Sports City huko Valdebebas, huku akipitia talaka ya juu kutoka kwa mke...
Ndinga jipya la msanii Billnass (Land Rover Defender) limezidi kuwa kivutio kwenye mitaa mbalimbali Jijini Dar es salaam,mapema leo hii alionekana nalo mitaa ya TAZARA na kuvutia wengi hususani...
Yapata wiki tatu sasa tangu msanii mwenzangu Steven Kanumba aage dunia, na kama ilivyo kwa kila kitu kinapotokea huandamana na kila aina ya maneno na hisia mbali mbali kutokana na mitazamo ya watu...
Hivi ndivyo anafunguka baba mchungaji wa Love Church Mc pilipili....
"Kanisa limenishinda, sasa hivi nahubiri mitandaoni pekee."
Anaendelea kufunguka Mc..
"Pale tulipokuwa tunakutana kila...
Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia CCM, MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH.
Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's...
W. J. Malecela Huyu ni mwanaJF mwenzetu muda kidogo hajaonekana huku yuko matatizoni kwa kuumwa tumkumbuke kwenye maombi.
Kwa mujibu wa maelezo yake huko Instragram hapo pichani akiwa ametoka ICU...
Habari zenu wadau wa burudani
Jamani Leo nimemkumbuka uyu kijana wa kingoni Caz T mwana wa komba aliyesumbua miaka ya 2000 mpaka 2002 na vibao vyake kama one more chance, sister du kapika ugali...
Ukongwe unakujaga pale unapopotea sokoni & husikik Radion wala mitandaoni, Lakini kama bado msanii anatoa ngoma zenye impact ni ngumu kuitwa mkongwe (mfano kwa Ali Kiba na Diamond walioanza kuhit...
Kwenu wadau mnaofatilia kiwanda cha mziki huu wa bongo, je ni msanii yupi wa kike unafikiria tunaweza kumpa taji la umalikia katika mziki wa hip hop ya bongo.
Bahadhi ya wasanii waliowai kufanya...
Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa East and Central Africa. Lakini hii sio point yangu kwa leo.
Zuchu ndio msanii wa kike anaeweza kusimamisha jiji la Dar es Salaam na likatii amri kwa kifupi...
Binafsi, kuna huyu wa kujiita Shafii Comedy. In short hakuna anachofurahisha. Ni kama alilazimisha tu kuwepo huko, na watu ambao wameamua kumpiga tafu tu, Hakuna kitu kabisa aisee
Kwako ni yupi...
Huyu jamaa naona anapania sana kwenye nyimbo zake kuna moja ya mistari yake unasema
"vishavu vimeanza kunona kitambi ndo hiki sasa ona nanenepa nanenepa na nami nimempata chioma"
Bwana mbosso...
1. Mvalishwa Pete wala hakuonyesha kustuka.
2. Huenda Hata waandishi na MC aliwalipa yeye mwenyewe.
3. UMRI ukisogea Noma sana. Unafosi kila kitu.
4. Ni kama alijivalisha Pete mwenyewe...
Mimi ni mpenzi mkubwq wa wasani wa kiafrika hasa watanzania.
Ila kunakitu kinanikwanza sana ninapo angaria movie au video za miziki ya Tanzania. Unakuta mtu anaubo zuri na mwonekano wa...
Watangazaji wa kipindi cha Transformer cha E FM wamekosoa mtindo mpya wa nywele wa Harmonize, wakifananisha muonekano wake na ule wa msanii Harmo Rapa.
Njaa haina Baunsa na shida zisikie tu. Mzee wa Upako Antony Lusekelo ajisalimisha kwa kiboko ya wachawi Buza kupata huduma. Nani anamloga huyo mzee wa Upako? Laa dunia hii isikie kwenye radio.
Baada ya vurugu na purukushani za EFM na Wasafi Media ambapo zimepelekea kwa watangazaji mbali mbali kuhama katika vituo hivyo vya burudani, msanii Harmonize ameujulisha umma kupitia ukurasa wake...
Wale madada warembo watatu waliotamba Bongo flavor miaka ya 2000 mabinti wa Kipozi Unique Sisters/ Dadaz wako wapi siku hizi na wanafanya nini?
Walikuwa wanaongea kijapani kilichonyooka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.