Ukiachana na nyimbo ya "chibonge" "dar kugumu" na "mi amor" hakuna nyimbo ya huyu jamaa niliwahi kupenda wala kuelewa
Anaimba takataka tupu!
na wanaopenda nyimbo Zake tofauti na nilizo orodhesha...
Super bilionea toka Mombasa, Imran Kholsa, ameendelea kuthibitisha kuwa pesa kwake si tatizo, akigeuza harusi ya mtoto wake kuwa tukio la mwaka
Ni baada ya kutenga kiasi cha dola 1,350,000 (sawa...
Mods, mukiona inafaa muiunganishe na thread ile kuu.
waendesha mashitaka leo wameongeza shitaka la kuendesha gari lisilokuwa na bima katika mashitaka yanayomkabili Chenge kwenye ile kesi yake ya...
Yvonne Cherrie, msanii maarufu wa filamu, Monalisa, ameweka historia baada ya kuhitimu Chuo Kikuu katika fani ya Usimamizi wa Biashara na Miradi, licha ya changamoto za dhihaka na kejeli...
Huyu jamaa hana jipya zaidi ya kukopy mahubiri ya mchungaji Dunstan Maboya.
STEVE (anzia 4:56)
DUNSTAN MABOYA (Sikiliza 0:30)
TUMEKUSTUKIAAAA cha kuiga! huchekeshi bali unajichekesha
Hili wakuone unaimba gospel kweli inabidi kwenye verse moja utamke Yesu mara 200.
Uvae mashati ya kung'aa ,chini moka na nk.
Hawa wasanii wanaoimba gospel janja kwa walokole siasa kali wanawaona...
If you were a fan of Isidingo then you must have watched Tyson who was Katlego's brother and Lincoln Sibeko's brother in-law.
Sadly this renowned South African producer and Actor succumbed to...
Familia ya dudu baya (msanii) mtoto wenu anaitwa Wille Yupo analala nje coco beach amedata
Kwa kulinda privacy sitoweka Picha yake .
Huyu Kijana anatumia Bangi, Pombe , na uchafu mwingine...
Aliyekuwa msanii wa Kundi la muziki la 'One Direction', Liam Payne, amefariki dunia akidaiwa kuanguka kutoka baraza la Ghorofa ya Hoteli aliyokufikia huko Argentina, Jeshi la Polisi...
Ambha anadai kwamba alifanya production lakini hakutoboa akawa ameamua kufunga studio aachane na muziki maana nyimbo zilikuwa hazipigwi na hapati fedha. Sasa akiwa ashaamua kufunga studio, asubuhi...
Kuna video moja nimeona ambayo mchungaji mmoja simjui akimzungumzia swala la muimbaji wa injili matha na Joan kuwafuma wakifanya usagaji yeye matha alikiri kuwa ni kweli ni walikuwa kwenye...
wana Jamvi,
Ni suala la kushangaza sana kwa takribani ya miaka mitatu sasa, tumesikia vifo vingi vya wasanii wa Twanga pepeta.
Tumekosa sana waburudishaji ambao walizikonga nyoyo zetu. Ni njia...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya kutengeneza magari ya umeme ya KAYPEE MOTORS, ambae pia ni GenC na mtangazaji kutoka Clouds Media Group, Ally Masoud Nyomwa maarufu kama Masoud Kipanya...
Habarini
Huyu jamaa nasikia anamiliki king d auto spares, huenda labda anamiliki king d hotel ya sinza
Hizi pesa nyingi watu wanazipataje wakuu.🤔mtu mwenyewe haendani na pesa anazomiliki, mtu...
Tazama sehemu ya performance ya Msanii Diamond Platnumz kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za CAF 2024 Marrakesh, Morocco
Pia, Soma: Diamond Platnumz kutumbuiza katika Hafla ya Ugawaji Tuzo za CAF...
Producer Shedy Clever anadai kuwa ana nyumba yake kubwa anayojenga japo hijakamilika kwa 100% ila ni nyumba ya kisasa, nyumba hiyo anasema itakuwa kubwa yenye vyumba 4 na studio ndani,garden...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.