Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Hatimaye Richmitindo amekumbatia Bomu lake na tutarajie lolote ndani ya muda mfupi!
18 Reactions
95 Replies
15K Views
Jacqueline afanyiwa 'send off' akiwa katika maandalizi ya ndoa hapo baadaye. Dada huyo wa watoto wawili aliingia ukumbini ndani ya gauni jeusi refu. Kila la heri, watu wanatafuta ndoa hawapati...
3 Reactions
54 Replies
9K Views
Baada ya Jacqueline Wolper kuthibitisha penzi lake kwa msanii wa WCB, Harmonize, muimbaji huyo wa ‘Bado’ ameibuka na kudai kuwa muigizaji huyo ni mke wake, na anachosubiri ni kuhalalisha tu...
6 Reactions
243 Replies
55K Views
Mchekeshaji Eliud Samwel ameonesha gari alilozawadiwa na Pastor Tony Kapola baada ya kukabidhiwa na Mke wa Mchungaji kama alivyoahidiwa. Pia, Soma: PICHA: Paul Makonda akiombewa na Pastor Tony Kapola
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Nakumbuka enzi hizo wanatajwa walikua warembo wanaosumbua mjini,wapo wapi siku hizi??? Tukumbushane na lyrics hapa chini... Yaani shwari hamna shari Mi na mabinti damdam, kweli kweli Thamani zipo...
39 Reactions
264 Replies
43K Views
marketer nguli Kelvin Twisa weekend hii ameuaga rasmi ukapera na kufunga ndoa na bi Eleonor...
5 Reactions
212 Replies
76K Views
Hatimaye wizara ya elimu imeona umuhimu wa kuingizwa kwenye mitaala ya elimu wasanii wakubwa kama Diamond Platnumz. Diamond na wasanii wengine wachache wa mfano kwa sasa wanasomwa na wanafunzi...
10 Reactions
57 Replies
3K Views
Caren Simba ambaye ni mzazi mwenzie Baraka The Prince afunguka: "Mimi na Barakah tumekuwa kwa muda mrefu ila aliyekuwa anajulikana ni Naj, wakati yeye yupo na Naj mimi nilikuwa na ujauzito wake...
7 Reactions
28 Replies
11K Views
Bila kumung'unya maneno, Hii trend ya hawa wasanii wetu hasa wa muziki wa kizazi kipya kupush hili suala la ushoga lionekane la kawaida tusipolipigia kelele itafika siku jamii nzima itaharibika...
23 Reactions
163 Replies
20K Views
Huyu ni mfano wa kijana wa kuigwa katika taifa hili la wenye nchi. Ni kijana anayejitutumua katika kutafuta mafanikio, na kamwe si mtu wa kukata tamaa. Nimeanza kumfuatilia kuanzia 2016, enzi...
6 Reactions
36 Replies
4K Views
Meneja wa msanii Mario amethibitisha Hilo aliokuwa akihojiwa na Millard Ayo. Amesema msanii wake huyo alitaka kuchukua uamuzi huo baada ya kuona mpenzi wake ambae pia ni msanii wa bongo fleva...
2 Reactions
60 Replies
13K Views
Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani Asili ya mwanaume ni mtu mkakamavu kwa lugha ya mtaani mtu mgumu Kawaida ya mwanaume hata...
5 Reactions
53 Replies
2K Views
HARAKATI KAMILI ZA MACK DIZZO & UGLY FACES KWENYE GAME YA BONGO FLEVA KABLA YA CHID BENZ KUITAWALA "ILALA" kiukweli mimi kama mack dizzo ni mtoto wa ilala pure kabisa... Harakati na mishe...
16 Reactions
43 Replies
3K Views
Mjukuu wa Bakhresa, Zayed, hivi karibuni amejipatia umaarufu mkubwa kutokana na maisha yake ya kifahari na ubunifu katika sekta ya biashara. Katika video aliyoiweka mtandaoni (X, Zamani Twitter)...
8 Reactions
78 Replies
6K Views
Msanii toka Canada The Weeknd alietambulishwa na Drake kwny industry ya mziki ameweka record ya kuwa msanii wa kwanza wa kiume kuzoa tuzo 8 katika tuzo za chat kubwa duniani (BBMAS) The Weeknd...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Aisee leo wakati nikipita mitaa ya Youtube nikakutana na ngoma ya always on time, nikajikuta nasikiliza collabo karibu zote za Ashanti na Ja Rule. Aisee zimenirudisha mbali sana nikiwa primary...
10 Reactions
26 Replies
1K Views
Wakuu, Nimekuwa nikijiuliza maswali bila majibu mpaka najisemea media hasa radio station inalipa mno au watangazaji na wanahabari kwa ujumla hawana viwango vikubwa vya mishahara. Kama...
10 Reactions
82 Replies
8K Views
Tony Atlas kutoka kuwa mcheza mieleka maarufu duniani na kufilisika hadi kukosa sehemu ya kulala, Jamaa alikua ni kati ya wacheza mieleka (wrestlers) wakubwa duniani na akatengeneza pesa nyingi...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu Uchawa unavuka boda sasa == Msanii wa Hip Hop, Madee, kupitia Instagram, amemtambulisha Rais Samia Suluhu Hassan kwa mashabiki wa Arsenal kwenye mechi ya jana, Desemba 27 dhidi ya...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Kwa wale mnaofatilia show ya wallpaper startv mtakua mnamfaham huyu jamaa..mie binafsi sijamkubali huyu mshkaji naona hana swagga na maujanja ya kuwepo pale...pia hata mwonekano wa kistaa hana...
0 Reactions
121 Replies
20K Views
Back
Top Bottom