Anaipenda Tanzania kwa kuwa amezaliwa Tanzania na wazazi watanzania wanaoishi Tanzania mpaka sasa lakini kwa kuwa Ureno wamemuamini sana na kumpa nafasi ya kuichezea timu yao ya taifa ya vijana...
1.Ali kiba
2.Juma Jux
3.cyril kamikaze
4.Hemed Phd
5.Gerry
6.Izzo bizness
7.ommy dimpoz
UTANASHATI ni jambo kubwa sana kwa wasanii na watu wa kawaida. Mara nyingi utanashati...
Abdul Juma ‘Baba D’
Erick Evarist na Gladness mallya
DAR ES SALAAM: Maskini wee! Baba wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Juma ‘Baba D’ anaumwa sana! Ndivyo Risasi...
Mengi anamiliki Radio one, Capital radio, EA radio na Ruge anamiliki Clouds fm na Choice fm. Sasa watangazaji wengi wa Mengi wanakimbilia kwa Ruge.
Tuwaorodheshe; Milard Ayo, Sebastiani Maganga...
Nampenda Lulu Michael wazoefu viwanja vipi naweza kumpata au kukutana naye au ofisi zake ziko wapi
Nisaidieni wapendwaaaa!!!! ....I am sick bcoz of her
Haijalishi alivyo historia yake me...
Naomba kujua wanamuziki na waigizaji waliosoma
Mimi naanza na mwana fa huyu ana masters in finance aliyoipata chuo kimoja huko uingeleza naombeni kuwajua na wengine ....naomba kuwasilisha wanajamvii
Huwa namsikiliza mno kwenye kipindi chake cha Ala za Roho. Hapa ukimsikiliza anaonekana ni mjuvi mzuri wa haya mambo ya mapenzi, sasaaaa kwa nini mastori mingi kwenye media na mahusiano mara...
Naona singeli inakuja kwa kasi ya ajabu hasa kwetu uswazi. Dah uchezaji wake bado nashindwa kuuelewa lakini poa tu.
Angalia video tamu ya Singeli Hiphop kutoka kwa wakali wa muziki.
Pnc ni msanii mwenye kipaji na sauti nzuri alifanya vizuri miaka ya nyuma kidogo na nyimbo zake zilihit sana kwa sasa naona kapotea sana kwenye game mara ya mwisho kupata habari zake walisema...
jamani naombeni kuulza kuhusu kitu gani kinamfanya msanii kuwa internatianal make wengine wanadai ni colable na wasanii wa nje wengine ni tuzo wengine ni mziko wake kujulkana nje ya nchi,nakarbsha...
Abdu Kiba amesema kuwa promotion ndiyo inawabeba wasanii wa lebo ya WCB.
Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM, “Sijafikiria kuimba na msanii kutoka WCB, kwa sababu sijaona...
Jamani wambea wenzangu, ninasikia habari ya mjini ni kuwa kuna bwana Mcongo anampunga balaa, anamwaga madolali, sasa bwana alimtumika Steve Nyerere kumpata Wema. Ninavyosikia share ya Steve...
Mkali wa wimbo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.
Muimbaji huyo amesema yeye na mpenzi wake Zari wanategemea mtoto wa kiume.
“Yah kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.