Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wakuu nadhani ipo haja sis wasanii chipukizi kuwatafuta Waanzilishi wa Mziki wa Bongo Fleva Ambao mchango Wao umepelekea Mziki Wa Tanzania kufikia hapa ulipo Kwa kuwatafuta na kufanya nao...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ujumbe huu ukufikie Christian Bella iwe unapita huku ama watu wako wa karibu wakufikishie ujumbe. Mimi ni shabiki wako mkubwa sana tena sana nikiri wazi kwamba nakupenda sana kutokana na kazi...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Story ya town kwa celeb wa Tz n kuwepo kwa uhusiano wa kimya kimya kati ya ali kiba na gigy money bado haijathibika japo Gigy money alipohojiwa na clouds fm kasema hajapewa ruhusa na Ali kiba...
2 Reactions
101 Replies
29K Views
Joh Makini amepanga Changanyikeni, nyuma ya UDSM. Jamaa ananisikitisha sana kwa mtu kama yeye kupanga chumba kimoja tu. Hapo hapo chumbani anapikia kaweka ndoo za maji na vyombo vyake. Ifike...
0 Reactions
112 Replies
31K Views
Huyu rapper anaekwenda kwa jina BAGHDADY nimesikiza ngoma yake mpya daah.. Dogo ameamua kujilipua kama Roma.. Nimependa uandishi wake, dogo sasa amekua.. Huu ujasiri tumeu miss sana sie...
4 Reactions
23 Replies
5K Views
Hili wazo la Masanja kuweka kiingilio kwenye harusi yake nimelipenda, Hakika huyu Jamaa ni anawaza Pesa kwa kila kitu... Na habari zilizopo tayari watu 1000 wameshalipia viingilio kwa ajili ya...
4 Reactions
136 Replies
16K Views
Kijana mwenzangu unajiskiaje kijana mwenzio anavyosogea na kupiga hatua. Vijana tuamke, baadhi ya vijana they are making money mfano huyu ameanza,,juzi nlikua namsoma Jux na yeye anasema anapata...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
SHILOLE AONYESHA UPENDO WAKE KWA NEDY MUSIC KWA KUTUMIA WIMBO WAKE. SHILOLE ASEMA HAYA => Wanasema mtoto mdogo nimedata naye. Mwenye nguvu mithili ya mbogo siachane nae. Agahhhhaa mkufunzi wa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
kijana wangu harmonize kaimba sehemu chache kwenye inde aliyoshirikishwa na dully ila katisha zaidi japo nasikia kwa mbali back voko za diamond sasa dully kazileta swaga zake za zamani kwenye hii...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ubuyu wa mjini unanyetisha kuwa, mkali wa Bongo Fleva anayetamba na wimbo wake wa Jike Shupa aliomshirikisha Ali Kiba, Natfal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, anadaiwa kupora demu wa jamaa ambaye naye ni...
2 Reactions
40 Replies
10K Views
Hili ni la kupongeza! Wasanii 'A-List' wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platnumz na Alikiba wamejikuta wakichangia takribani shilingi milioni 41 katika Taasisi ya 'GSM' ili kusaidia...
4 Reactions
19 Replies
5K Views
Kuna muda unafika maishan inabidi you make right decisions..Yaan namkumbuka MR BLUE zile enz namuelewa sana..Amepita na madem wazur wote Wema, Naj na hata nina uhakika ZARI angekuwa hizo siku BLUE...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwanamuziki nguli wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo maarufu kama General Defao akwama hotelini jijini Mombasa baada ya kushindwa kulipa Bili ya Ksh 20,000. =================================...
3 Reactions
37 Replies
15K Views
Hilal Ametutoa kimasomaso olympic baada ya kushinda kuogelea 50m ya wanaume free style! Wajuzi wa kupandisha video wasaidie from you tube sie wengine wa zamani and conservative!
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Sometimes huwa nikiwa sina kazi au nikiwa sina muvi nzuri huwa naamua kutune in tv stations za home,sasa ukiangalia hizo videos za bongofleva,na hata boringo(acha kwaya ).wote kila msanii kwa kila...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
As per thread ya Compact anasema kwamba wasanii kama Navy Kenzo Fid Q na weusi leo wanafanyiwa usahili ili tu kushiriki tamasha la FIESTA, hii imenishangaza kidogo, Hivi hii FIESTA ina nini mpaka...
7 Reactions
57 Replies
9K Views
Kama ilivyozoeleka radio ya Clouds Fm chini ya Clouds Media Group huleta Tamasha la Burudani kila mwaka maarufu kama "FIESTA". Baada ya kutofanyika Mwaka Jana kutokana na nchi yetu kuwa na...
3 Reactions
183 Replies
29K Views
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Imekuwa ni nadra sana kumuona msanii wa Kitanzania akijitokeza katika jamii na kuchangia mambo mbali mbali kwa kigezo kuwa kazi zao hazina masilahi! Hii...
17 Reactions
66 Replies
10K Views
Wakuu hii naapa kwa jina la mungu, Kuna jina linatrend sana kwenye social netwek la mwanamke anaeitwa Giggy Money. Hivi huyu dada ni nani hasa au amefanya jambo gani kubwa kwani mbona watu...
6 Reactions
91 Replies
57K Views
Back
Top Bottom