juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Mengi anamiliki Radio one, Capital radio, EA radio na Ruge anamiliki Clouds fm na Choice fm. Sasa watangazaji wengi wa Mengi wanakimbilia kwa Ruge.
Tuwaorodheshe; Milard Ayo, Sebastiani Maganga, Kennedy the remedy na juzikati tena amewanyakua Dj Sinyorita na Mamie babie. Hatujakaa sawa mara kawanyakua tena Hasan Masale na DJ Muba na sasa wapo Choice fm.
Mbona anamuandama sana baba wa watu jamani kwani hakuna redio zingine? Tusubiri kusikia Sam Misago nae kachukuliwa.
Kazi ipo hizi media..