kumbe.....kwa tv ama?Mostly namuona anapiga kazi na kaka yake Evans Bukuku (Dr. Digital) huwa anaimba na kufanya stand up comedy anazo andaa kaka yake.
Hapana ni stand up comedy ambayo huwa wanafanya seasonally pale paparazzi sea cliffkumbe.....kwa tv ama?
kwa hiyo mziki ndo basi tenaHapana ni stand up comedy ambayo huwa wanafanya seasonally pale paparazzi sea cliff
Chaliii...anafanya for funny siyo biasharakwa hiyo mziki ndo basi tena
alitisha sanaNimemkumbuka tu alivopita vizuri kwenye chorus ya N2N Hawatuwezi
Duh, umenikumbusha, dahh!Nimemkumbuka tu alivopita vizuri kwenye chorus ya N2N Hawatuwezi
Hiii ngoma hatari sanaNgoma yake ya Baridi kama hii hadi leo hii naikubali sana.
Ile bit nadhani iligongwa na marehemu Roy.
huyu hapa nimempata
yupo youtube.com...amenenepa sana siku hizi aiseeyukowapi?
eddy_mhando said:
huyu hapa nimempata