Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wadau bila shaka kama wewe ni mfuasi wa nyimbo za kizazi kipya utakuwa unampata Msanii billnass Anaetamba kwa wimbo wa LIGI NDOGO na CHAFU POZI nyimbo ambazo zimemfanya msanii huyu kujikuta star...
11 Reactions
87 Replies
13K Views
Jamani mwenye historia kidogo kuhusu uliokua muungano kati ya Madilu na Franco. Ilikuje wakaungana wakati Franco alikua na bendi yake. Na hatma yao ilkua je?
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Msanii nguli wa mashairi ameeleza kwamba kuna bakteria wanakaa njia ya haja kubwa ambao mtoto huwa anazaliwa nao, na hao ndio wanafanya baadae aje kuwa shoga. Pia ametaja tabia ya watoto...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Diamond Platnumz amefanikiwa kile ambacho hakuna msanii wa Tanzania amewahi kufanikiwa huku kukiwa na wasanii wachache tu wa Afrika wamekifikia – kuingia kwenye playlist ya kituo cha redio cha BBC...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
President Obama’s eldest daughter, Malia, has made a decision about where she will attend college. And she has chosen Harvard University. Malia, who is due to graduate from high school next...
10 Reactions
134 Replies
18K Views
Anaitwa JUMA MCHINA SHAROBARO , Msanii wa BONGO FLAVA. Sasa hivi mkali huyo kutoka Gang Zhou amekamata soko la ndani hao wakina Daimond na Ali Kiba watasubiri sana. Mcheki hapa alivyojaza watu...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Farid Kubanda, mzee wa Mwanza Mwanza kaendelea kutikisa jiji kwa mikito yake heavy yenye line kali zilizoshiba ambazo bila kutumia akili kuzichanganua ni lazima akuache njiani. huu ni wimbo wake...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Msaniii Ruby amefanya Cover ya wimbo wa Diamond Platnumz Je utanipenda na kuutendea haki kama vile ni wake akiimba kwa hisia kali sana utafikiri wimbo wake kwa ambao hamjausikia upate hapo Ruby -...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Msanii maarufu wa kike wa Kenya AKOTHEE amewajengea wazazi wake jumba la kifahari. Angalia picha hizi hapa.
2 Reactions
45 Replies
11K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Natafuta mawasiliano ya Nikki wa Pili. Kuna project nataka kufanya nae. Kama una namba yake ya simu au barua pepe naomba uiweke hapa au nitumie PM. Wasalam.
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Dazbaba au daz mwalimu, huyu msanii alifanya poa sana miaka ya nyuma kidogo akiwa na kundi la Daz Nundaz vilevile alifanikiwa kufanya kazi zake mwenyewe zilizo fanya poa sana kwenye media tofauti...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungulia Nay wa Mitego kuendelea na shughuli za sanaa baada ya kuwa ametekeleza adhabu (maagizo) zote alizopewa kama masharti ya kumfungulia. Chini ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi hili linanitatiza, labda wenzangu mnalo jibu.Wapo wanaosema kuwa Rais mstaafu ni raia wa Msumbiji na wala si mtanzania, eti aliingia kule Kusini akiwa na umri wa miaka mitano wakati huo na...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Poleni na mapambano zidi ya Mafisadi
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habarini wadau"!! Unadhani video ipi bora za nyimbo za DIAMOND PLATNUMZ alizotoa tofauti na kampuni ya GODFATHER PRODUCTION ya S.A? Kwangu naona ya Wimbo wa moyo wangu video iliyotengezwa na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Upande wa wanaume Tanzania kuna Diamond na Ali Kiba kwahiyo hapa Tz watagawana kura Kenya yupo Sauti sol anabeba kura zote, uzalendo kwanza Uganda yupo Jose Chamelion, Bebe cool na Kenzo nao...
0 Reactions
84 Replies
7K Views
Back
Top Bottom