Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kichupa kimetoka sema sina utaalamu wa kukifunga humu.. Mwenye huo utaalamu awafungie wadau wakione. ===== <Imewekwa>
2 Reactions
48 Replies
9K Views
Safari ya msanii Belle 9 kuitembelea label ya WCB amejifunza vitu vingi na kupata nafasi ya kusikiliza baadhi ya kazi mpya za Diamond Platnumz ambazo bado hazijatoka hewani. Sasa leo August 30...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wimbo wake wa kwanza wa amadai kabla hajaanza mahusiano na shilole(shishi baby) ulikua ni omario ambao alizungumzia jinsi ambavyo analelewa na mwanamke. Na katika nyimbo aliomba mwanamke...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Msanii mkongwe wa muziki kutoka Morogoro, Afande Sele amedai anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro kwa madai anagawa pesa kwa watu ili kuwashawishi wajitokeze katika maandamano ya UKUTA...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Mtangazaji wa Clouds FM, Diva amesema nyimbo zake pamoja na za mtangazaji mwenzake, Adam Mchomvu zinabaniwa na redio zingine, kitu ambacho anaona si sawa. Anasema redio za mikoani ndizo zimekuwa...
1 Reactions
73 Replies
9K Views
Hivi shilole kwanini anapenda kuwachukua vijana wadogo? Ni kwamba wanamfurahisha zaidi kitandani au sababu anaweza kuwamudu kwa kuwapiga makofi? Kama ilivyo kwa Madee mpaka akamkana demu wake wa...
2 Reactions
38 Replies
6K Views
Mwanariadha wa Jamaica, Usain Bolt (30) ameingia kwenye kashfa baada ya picha zake kadhaa akiwa na mwanafunzi wa kike wa Rio wa miaka 20 kusambaa mtandaoni. Mwanafunzi huyo ambaye ametambulika...
4 Reactions
85 Replies
14K Views
Msanii mkongwe wa muziki kutoka Morogoro, Afande Sele amedai anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro kwa madai anagawa pesa kwa watu ili kuwashawishi wajitokeze katika maandamano ya UKUTA...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wasanii wa Tanzania wameonekana katika video fupi ikiwaonyesha wanagombania kupiga picha na msanii Wizkid!
3 Reactions
51 Replies
12K Views
Akina dada wa mjini hasa wa Bongo movie wameanza kujipendekeza kwa Mbwana Samatha hasa baada ya kuwa amechukua Tuzo ya mchezaji bora wa Afrika upande wa wachezaji wa ligi ya Ndani. Akina dada hao...
7 Reactions
96 Replies
16K Views
Alex Ssempijja mwenye miaka 14 kutoka Katwe amefariki siku ya Jana Jumatatu usiku baada ya ajali ya Baiskeli Mjini Kampala, Mwanamuziki Eddy Kenzo amethibitisha. Kwa wale wasiomfahamu marehemu ni...
0 Reactions
26 Replies
12K Views
Hili lipo wazi!!!!!! Nani asiyemjua Nasibu Abdul ( Diamond platinumz). Ni msanii mwenye mafanikio makubwa kwa Tanzania na Africa kwa ujumla, ni msanii ambaye amejizolea sifa nyingi kupitia kazi...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Rapa mkongwe kutoka kundi la East Coast, King Crazy GK ameamua kuingia Studio kwa Alonem ambapo amebadili maudhui ya uimbaji wake kutoka kurap na kufanya muziki wa kuimba huku video akiifanya na...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Wema Sepetu alianzisha varangati la nguvu ofisi za magazeti ya udaku ya Global kisa ni kuandikwa kwa habari zake za uongo kwenye magazeti hayo
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Chris Brown is led away after being arrested on suspicion of assault with a deadly weapon following 11-hour standoff at his £3m LA mansion where he 'pointed a gun at beauty queen's head'...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Mhe Edward Lowassa, jina lake ni maarufu sana kuliko majina mengine Facebook. Watu wengi wanalitumia jina lake Facebook yaani account za facebook. Pia kuna Facebook pages nyingi sana zinatumia...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Msanii namba mbili nchini bwana mdogo Diamond Platinumz amemfunika vibaya French Montana katika kolabo yao waliorekodi mwezi uliopita nchini Marekani.iliyopewa jina la NYC to DSM. Tuliopata nafasi...
5 Reactions
26 Replies
5K Views
Kuna huyu bwana mdogo anaitwa Steve Mangere, siku za nyuma tulizoea kumwona katika majukwaa akimwigiza sauti hayati Baba wa Taifa, kutokana na hilo akaanza kujiita Steve 'Nyerere', hivi siku hizi...
5 Reactions
57 Replies
7K Views
Waliokamatwa na 'unga' wa mabilioni ni mabinti - Wote ni Watanzania, walianzia safari Dar, washikiliwa Afrika Kusini NA THOBIAS MWANAKATWE | 9th July 2013 Wanawake wawili raia wa Tanzania...
8 Reactions
333 Replies
76K Views
Back
Top Bottom