C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,735
Akina dada wa mjini hasa wa Bongo movie wameanza kujipendekeza kwa Mbwana Samatha hasa baada ya kuwa amechukua Tuzo ya mchezaji bora wa Afrika upande wa wachezaji wa ligi ya Ndani.
Akina dada hao ukiingia kwenye page zao za Instagram na Twitter wameanza kujipendekeza.
Maoni yangu kwa Mbwana ni kuwa makini na wanawake hao kwani watakumaliza wengine watataka umaarufu kwako hasa hawa kina GIGY MONEY.
Wengine watataka kulala na wewe halafu wakati wanalala na wewe wanakuchoresha kwa waandishi wa habari ambao ni marafiki zao hasa IMELDA MTEMA na kina Mussa Mateja.
Waandikwe kupitia wewe madili yao yafanikiwe kwani wengi kichwani shule hamna hivyo wanaishi kiuja ja ujanja tu mjini hapa..
Kuwa makini sana na kina Lulu, Tunda, Ndauka, Uwoya, Ezekiel, Wema, na mastaa wote wa mjini.
Ni bora kama una mchumba wako ambaye ulikuwa nae toka zamani usimwache huyu huyu endelea nae.
Hayo tu dogo!

Last edited: