Utafiti uliofanyika siku za ivi kalibuni umeonesha kuwa mashabiki wa Ali Kiba wana jikomba nakumpenda mtu asie wapenda na anae wadharau..... Unazungumziaje utafiti huo
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Wakazi amedai wakati yuko masomoni nchini Marekani alishawahi kufanya kazi kwenye Hoteli ya mgombea Urais wa sasa wa nchi hiyo kupitia chama cha Republican, Donald...
Mwaka 2006 ndio ilitoka album ya tatu ya Prof Jay ambayo inafahamika kwa jina la J.O.S.E.P.H. Lakini J.O.S.E.P.H ni wimbo ambao uliweza kulichaguliwa kuwa wimbo bora wa Bongo Fleva/Hiphop BBC na...
Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa, hatimaye Chidi benzi licha ya kuripoti hapo awali ya kuwa ameachana na madawa ya kulevya na kurudi na ngoma iitwayo chuma na kufanikiwa kupenya na hiyo...
nyimbo inahusu kulielezea jwtz na baadhi ya mission ilizoshiriki nje ya nchi ,ndani ya video utapata kumuona jay mo akiwa juu ya tank,pia wanaonekana wakiwa kwenye meli ya kijeshi na pia...
Hitmaker wa ngoma ya Jikeshupa Nuh Mziwanda amebonga na kipaza cha Perfect255 kuhusiana na mipango yake ya baadae kuja kubadilisha aina ya uimbaji na kuwa anaimba muziki wa dini.
Nuh ameiambia...
Baada ya msanii ruby kukorofishana na clouds media ,sasa naona Efm ya jijini dar imeamua kumkwapua na kuzunguka nae sehemu mbalimbali kwa slogan yao ya "tunasepa na kijiji" ambapo kesho watakua...
Mwana mama anayekuja juu kwa kasi ambaye pia ni mke wa mheshimiwa Joseph Mbilinyi kila kukicha anazidi kuonesha vituko vyake
Faiza leo kaamua kuipa promo chupi yake kwa kupita mbele za watu na...
Wakuu naomba tuskilize haya mahojiano na tufanye uchambuzi wa kile tutakachokiskia kwa kutoa Constructive and comparative analysis between the two bongo flavor artists of Tanzania
Mwanamuziki nguli wa muziki wa Kwaito wa nchini Afrika Kusini aitwaye Mduduzi Tshabalala au maarufu kama Mandoza amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 38.
=========
JOHANNESBURG – News of the...
Kwa mujibu wa tafiti zangu nilizofanya nimegundua hawa ndio wasanii wenye followers wengi instagram
1:Davido
2:Diamond Platnumz
3:Wizkid
4:Tiwa Savage
5:Donjazzy
6:Shillole...
Hivi kwa nini inasemekana south paws ni boxers wazuri sana kuliko orthodox wakati huo huo wanaoshikilia chat za juu za maboxers wazuri inaongozwa na orthodox??
Hili swali nimekuwa nikijiuliza...
Faiza Ally au ukipenda muite mama Sasha amefunguka kuwa ana mpenda sana Sugu japo hapo awali alivunga kwa kusema hana time nae kwa kuwa kila mtu ana hamsini zake
Lakini wahenga wanasema mapenzi...
Msanii chipukizi wa diamond kutoka wcb mwenye nyimbo mbili tu kwenye mbongo flava ameanza kuonja mafanikio ya kazi yake baada ya kuanza kuishi kwake
Raymond mwenye hits mbili za kwetu na natafuta...
1.Nimekua nikifanya utafiti kwa mda mrefu sana hatimae kuna kitu nimekihisi kwa wasanii wetu hasa upande wa muziki. Wengi wakishakua ma super star wanakua na maringo sana au hata kama hawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.