Inakuwaje kwenye MTV Mama 2016 kipengele cha personality of the year nominees yupo linda Ikeji halafu Le mutuz field marshall sauti ya umeme,le baharia,king of all social media,owner of swahili...
Zile tetesi za muda mrefu kuhusu mwanamuziki Diamond Platnums pamoja model maarufu nchini, Hamisa mobeto aka Salome kuvunja amri ya sita huenda zikazaa matunda soon baada ya hivi karibuni mzazi...
Mwanadada Wema akiongea na kipindi kimoja cha redio leo mchana alipoulizwa yapi maoni yake kuhusu wimbo mpya wa Salome alisema wimbo ni mzuri sana na alitakiwa kufanya video lkn ilibidi walipe mil...
Kama tunavyoona Salama ameanza kuhost kipindi kipya cha Ngazi Kwa Ngazi na kuachana na kile cha awali cha Mkasi, ningependa kujua hatma ya hawa vijana wengine John na Muba waliokuwa wakiendesha...
Waswahili wanasema mafahari wawili hawakai zizi moja, huu msemo bhana umejidhihirisha kwa Rayvan na Harmonize baada ya kila mmoja kujiona fundi zaidi ya mwenzake ingawa meneja wao ndugu Ricardo...
Muigizaji maarufu nchini asiyekaukwa na scandal, wema Isaac sepetu, hivi karibuni ameibuka na kuwataka wote wanaotumia mitandao ya kijamii kumsapoti( team wema) kuanzia Leo waache kwani hawajui...
Baada ya kutotajwa jina lake kwenye tuzo za
MTV MAMA 2016, Davido amejipa moyo kufanya
vizuri mwakani kwenye tuzo hizo.
Kupitia mtandao wake wa Twitter, muimbaji huyo
ameandika, “I really...
Watu wanaoona mbali walijua tu kuwa mbio zako ni za sakafuni.
Ulimtenda mumeo na ukataka afungwe, na hata aliposhinda kesi hukuridhika ukaamua kukata rufaa.
Bahati nzuri ulichelewesha ndo ikawa...
Msanii wa nyimbo za asili Saifa Karoli aliyevuma kitambo amefunguka na kusema kuwa kitendo cha msanii Diamond Platnumz kurudia moja ya kazi yake anajihisi kuzaliwa upya.
Saida...
Msanii David Adeleke Adedeji ameonesha furaha ya hali ya juu baada ya kuisikia nyimbo yake ya Skelewu ikichezwa katika movie kubwa huko Hollywood Marekani iitwayo Qween of Katwe
Katika movie hii...
Wanajamvi,
Nasikitishwa sana na baadhi ya mashabiki na baadhi ya wasanii wakubwa kwa kuzidisha jitihada kumshusha kijana wawatu kwa hatua anazonipiga.
Hivi TZ tutabadilika lini na kuachana na...
Msanii King Crazy GK aliyetamba na ngoma zake kama vile sister sister na sauti ya Manka ambaye alitikisa vilivyo na style yake ya kuchana ingawa alikuwa na kigugumizi
Ila kwa sasa GK wa sasa...
Naheshimu muziki wa GK lakini kwa nlichomsikia anasema ni wazi kua atakwama...umepotea kwenye anga ya muziki then unarudi halafu unasema kua hufanyi show chini ya milioni 30. Dah aisee...diamond...
Ili kuipa kiki zaidi nyimbo yake Diamond amepost video ya Wema akiimba wimbo wa Salome, pengine Wema amejirekodi na kumtumia Diamond ili wote wawe gumzo kwenye media za udaku tzz
Leo ndo siku ya kutangazwa nominees za tuzo za Mtv Mama's awards 2016 ungana nami kukuletea vipengele live
Pia kura safari hii zitapigwa kwa mtindo huu wa hashtags kwny social medias
mfano...
Huyu nae Salome juwa huyu ndo simba akitua town kukumbiza swala, digidigi, Twiga, Viboko, yurt hadi minyooo just persevere. Lakini jaandae kuoga maji ya baharini kuondoa nuksi
Mimi ni mpenzi mkubwa wa muziki na hasa muziki wa dansi ingawa nyimbo nyingi sizijui. Nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana kuwasikiliza Washirika Tanzania stars na mpaka sasa nikisikia nyimbo yao...
Taarifa nzuri kwa mashabiki wa Davido, Sony Music kuachia kazi zake soon!!:
September 22, 2016 mtu wangu wa nguvu, nakusogezea taarifa nyingine nzuri kutoka kwa Davido star wa muziki kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.