Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kwa wale wafutaliaj wa mambo watakuwa wameolidavua hili sasa kuna kundi A ambalo lenyewe linajiona kila kitu halitak ukaribu kabisa na kundi B hili linaundwa na Diamond na WCB,shettah, ney wa...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Mi napenda huu mchezo wa basket hua unaniua kabisa Hebu cheki hapo alivyoushika huo mpira sijui anataka kurusha 3 point au!!!jionee mwenyewe masogange naona kaachia huu mzigo sijui nani...
6 Reactions
111 Replies
10K Views
Namuona hapa huyu mtu mliyemsema anaitwa Kicheko anahojiwa Clouds Tv kumbe ndo huyu, nakumbuka niliwahi muona EATV kwenye comedy, ila mbona ameingia Clouds kwa mbwembwe sana hajui kwamba kuna siku...
2 Reactions
0 Replies
820 Views
MALALAMIKO MAZITO KUTOKA KWA CHID BENZ, KWA WANAOSEMA AMERUDIA UNGA MALALAMIKO MAZITO KUTOKA KWA CHID BENZ, KWA WANAOSEMA AMERUDIA UNGA | RAHA ZA WALIMWENGU
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Season ya Antlantis Bongo Movie Nowadays, Seasons ni habari ya mjini kwasasa,Why Bongo Movie kimyaa? Wakati tuna waigizaji wa kweli Hapa Tanzania? Ikiwemo Ray,Richie Rich,Lulu,Wema sepenya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanamama maarufu mwenye haiba ya kipekee mjini, mange kimambi, hivi karibuni aliwaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya ku post video akicheza wimbo wa mwanamuziki mkongwe nchini, dully Sykes...
8 Reactions
39 Replies
8K Views
Haya hayaaaa Wale wenye timu zao wakina timu Domo na timu Kibakuli naona mambo yanapamba moto. Tarehe 13/9/2016 new hit song la Baraka ft Alikiba linaachiwa rasmi. Amini usiamini hili ni...
6 Reactions
162 Replies
27K Views
Habari ndugu zangu. Tunafaham kuwa ni siku chache tu tetemeko la ardhi limetokea mkoa wa kagera na kuathiri maeneo mengi hasa manispaa ya bukoba. Na siku kadhaa kabla ya tetemeko tukio la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zinazoenea kwa kasi chini ya kapeti kuhusu staa wa filamu nchini, Elizabeth michael aka Lulu hivi karibuni kushushiwa kipigo "heavy" na mpenzi wa sasa ambaye pia ni mmliki wa radio maarufu...
11 Reactions
303 Replies
41K Views
Mkali wa wimbo ‘Bado’ Harmonize amefunguka na kuelezea harakati zake za muziki mpaka anafika kwenye mafanikio huku akiweka wazi jinsi alivyoambiwa hajui kuimba na Master J katika shindalo la BSS...
8 Reactions
127 Replies
17K Views
Jamani anayejua hapa huyu vampire platnumz mbona hatupumui?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Jesph, Mkewe Juhaina na mtoto wao pamoja na Chaka Khan. Apparently Joseph kusaga alipewa sharti la kumwoa yule binti wa Kingazija (Juhaina) wakati alipokuwa anafanya kazi pale Greenland Bank...
2 Reactions
25 Replies
19K Views
Beautiful onyinye wema sepetu sepetunga ameonesha umahiri wa hali ya juu wa kucharaza kiarabu licha ya kuwa hajioneshi kuwa anafahamu lugha hiyo Kupitia ukurasa wake wa instagram mrembo Wema...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Muigizaji na mshindi wa tuzo ya oscar, lupita nyong'o, hvi karibuni amepata shavu jingine kubwa ambapo sura yake itaonekana kwenye jarida maarufu nchini marekani linalodeal na mambo ya fashion na...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Daah,sijui kama ingekuwa jamaa yetu wangefika kweli!Pia wadau tujuzane wasanii ambao wameshatinga magogoni awamu hii ya 5!Sijaona post hata moja ya msanii akiwa na JPM 2016
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Msanii Mataluma aliye wahi kubamba na ngoma zake kama vile ,mama mubaya, na kariakoo ameamua kurudi rasmi kwenye mziki baada ya biashara iliokuwa ikimuweka hapa mjini ya kuuza mkaa kumdodea...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
BARUA KWA DIAMOND PLATINUMZ na MAMA YAKE MZAZI Mbeya region P.O.BOX 0759209081 MBEYA Dear diamond.... sina imani we ni mzima wa afya kutokana hasa na mambo unayofanya kiukweliii katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwanamuziki Esterina Sanga maarufu kwa jina la Lina ameamua naye kulipa kisasi kwa Wema kwa kumchukua mpenzi wa Wema aitwaye Idrissa Sultani Linah kaamua kufanya hivyo kwa kuwa Wema siku za nyuma...
2 Reactions
103 Replies
23K Views
Msanii mkongwe wa muziki Matonya ameweka wazi ujio wa kundi lake jipya ‘Black Image’ likiwa na project mpya ‘Mr Magufuli Legeza Kidogo’. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
Back
Top Bottom