Ali Kiba mbwa wake mpya ameamua kumuita jina la ruby na kupelekea watu wa karibu na kiba na mashabiki zake(teamkiba) kumuita binti na chipukizi wa bongo flave mwenye sauti nzuri Ruby kushindwa...
Video ya wimbo ‘Salome’ ya mkali wa muziki, Diamond Platnumz imefikisha views miloni moja katika mtandao wa YouTube kwa kipindi cha siku mbili. Video hiyo ambayo inaonyesha kufanya vizuri zaidi...
Huyu jamaa kwanza mim namkubali maana kwa juhudi zake amesaidia sana Diamond kuwa pale leo. Shida niliyonayo jamaa anapenda sana majungu kila akipost kitu instagram lazima aweke maneno ya vijembe...
1:Faiza Ally, huyu aliwahi kuwa mpenzi wa mheshimiwa Joseph Mbilinyi ila kutokana na tabia zake za ajabu ajabu hatimaye mheshimiwa aliamua kunyoosha mikono na kuachana nae ,
Kwa kudhihirisha hilo...
Ama kweli ukiwa na nyota ya kupendwa dunia yote hii utaiona tamu balaa
Mwanamuziki ambaye pia ni mume wa Kim Kardashian na muanzilishi wa dini ya yeezus Kanye West ana nyota ya kupendwa kwa kweli...
Msanii Roma alishushwa jukwaani huko Morogoro baada ya kutuhumiwa kutoa matusi juwaani, Roma anadai hakutoa matusi ila alikaribishwa kuimba ila akaimba akaboa watu na ndio maana walimshusha
Amedai...
Naimani wale wa kale watakuwa wanamjua huyu promota na meneja maarufu miaka ile ya 2000 mwanzoni aliyemleta Saida karoli akabambaa Afrika nzimaa chini ya studio yake ya fm studio
Producer Akiwa...
Hakuna asiyemjua mwanamama Saida Karoli kutoka na vibao vyake motomoto kama vile Chambua kama Karanga, Kalibatano, Kitobelo, Engozi...nk pia aliwahi kushiriki mashindano ya Kora kupitia kipengele...
Baada ya ule mtanange wa hapo awali kati ya rayvan na harmonize na rayvan kumkimbiza vibaya sana mmakonde harmonize , leo nimewaletea mtanange mpya kati RAYVAN na RICHARD MAVOKO
Yupi unamuona...
Kwa mtazamo wangu nadhani hawa ndiyo wasanii wa bongo fleva ambao wameshirikishwa kwenye nyimbo bila kuharibu na wakati mwingine kuzipaisha ngoma zenyewe.
1.Alikiba.
2.G.Nako
3.Barnaba boy...
Huyu mtoto nina zake!!!kanifanya nimewehuka mpaka namfungulia thread,aisee hivi ni masikio yangu au nna tatizo?dogo anajua jamani,kwenye salome kanifanya toka jana namaliza mb zangu,huyu mtoto...
After a bidding war between Universal Music and
Sony Music , the only Two Major Distribution companies in the world, Wizkid has decided to go with the latter and just inked a global record deal...
Akiongea na Millard Ayo baba huyo wa mabinti watatu alitoa sababu kwanini hataki wajihusishe na mziki. "Unajua binti kupitia kwenye mziki hadi aje kufanikiwa lazima apitie mengi. Mimi naongea hivi...
Hii video mpya ya diamond pamoja na Raymond imenikosha, ila najiuliza tu kwa nn kaka yetu hakumtumia Lulu na badala yake akamtumia tunda? Au aliogopa kukutanisha mafahali wawili katika zizi...
Naona picha zake znyingi anapiga akiwa anakula au yupo kwenye mijumba ya kifahari
Hizi nyumba ni zake au kwao kwel?
Au ndio kick?! Au ndio anauza papuchi
Japokua ki muonekano hayuko vyema sana sema ana vionjo flani ktk utangazaji wake na vicheko mororo sauti clear ila kizungu kingi..kwa wasio mjua huyu dada ni mtangazaji wa clouds tv ana host...
Naomba niwashaur wana jf wenzangu kua tumpatieni huyu jamaa digrii ya heshima kutoka hapa jf.
Nadhani kila mtu anautambua mchango wake ktk tasnia ya mziki wa kizaz kipya hapa bongo,aisee jamaa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.