Tunajua kuwa maisha plus ni show ya uhalisia ila kwa kikichotokea leo Masoud na wenzako mmetuongopea tena uongo wa wazi sijajua mna lengo gani
Uongo huo ni hao washiriki wa kike kulala juu ya...
Mwanamuziki wa zamani Mzee Kungubaya, amefariki jioni hii, alikuwa amelazwa kwa shida ya Pressure na baadae aligundulika kuwa na tatizo la Figo
Kwa wale wasikilizaji wa zamani wa RTD kulikuwa na...
Hapa naongelea redio kubwa zenye frequency mikoa yote au baadhi ya mikoa na sio redio inayosikika mkoa mmoja au wilaya moja,,so wale wa Dar naomba nisiihusishe E fm wala choice fm wala times fm...
Baada ya baraka da prince kutupitia picha mpenzi wake kwenye instagram msanii mwenzake Msami alicomment kwa kumtania lakini baraka alipandwa na harisa na kumtukana mwenzake
Z-Anto ni miongoni wa wasanii waliozishika chat za radio na TV mbalimbali za Tanzania miaka kadhaa iliyopita, na waliozunguka karibia kila mkoa kama sio kila wilaya kupiga show kutokana na kuhit...
Ipo wazi kwamba these guys ndo wanaorun bongo kwa sasa kwa 'mijisong' yao matata ya malovee,ambapo kila dude linaloachiwa hewani kwao ni 'hit'.wote wanamashabiki lukuki bongo na Africa mashariki...
Jamani nini kinachoendelea clouds FM na wasanii wa fiesta? Wanakuwa promoted kupita kiasi, interview za kutosha , nyimbo zao zinapigwa kila saa, nyimbo zao zipo juu katika chati ya top 10. Ni...
Wengi tunakumbuka mchezo maarufu wa TV wa MARTIN, uliokuwa ukionyweshwa kupitia ITV...wakati huo ndio TV pekee iliyokuwepo, hivyo ni wengi tulikuwa tunaangalia..mmoja ya Waigizaji wa MARTIN kati...
Diamond platnumz ni moja ya wasanii wa Bongo fleva
ambao ndoto zao kubwa ni kuhustle kuufikisha muziki
wa Bongo katika sehemu ambazo ilikuwa ni ndoto
kufika. Tukiwa tunasubiri ujio wa ngoma yake...
Hii Kitu niliijua siku nyingi sana......sikumbuki kama niliwahi kuandika hapa JF.... Sometimes in april movie iliyotoka 2005 wametumia sound track zifuatazo na moja wapo ukiwa wimbo aliotunga...
Rapper mkongwe nchini, King Crazy GK amesema akipewa fursa ya kutumia bifu ya Diamond na Alikiba, atawafanya wawe mabilionea.
Rapper huyo amedai kuwa atahakikisha wawili hao wanaongeza uhasama...
Ukizungungumzia historia ya muziki wa Bongo Flava, haiwezi kukamilika bila kulitaja jina la mkongwe Juma Kassim Nature aliyewahi kutamba ngoma kama ‘Jinsi Kijana’, ‘Hili Game’ na zingine kibao...
Mchongo wa kijanja kwa sasa ni EATVAWARDS-2016.
Karibia hapo kesho na Eatv Chanel na Eatv Redio na kufuatilia categories zote ambazo zitakuwepo.
Kuwa karibu na TV yako sasa!!
Habari wakuu!
Ule msemo kuwa mziki umetawaliwa na kila aina ya ghilba, fitna ,figisu na kila aina ya uchafu sasa umetimia.
Itakumbukwa mwaka jana msanii wa Bongoflava Alikiba aliandika ujumbe...
Napenda kumpa ushauri mdogo wangu Ally Salehe Kiba aende akaombe kusainishwa WCB kiroho safi ili akuze mziki wake bila ya hivyo natabiri baada ya miaka miwili ijayo hatoweza tena kumkaribia...
Kgmotso Christopher ndio jina lake halisi lakini wengi wapenz wa isidingo wanamfahamu kama Katlego...
Huyu dada nampenda tu bas. Embu sema neno lolote kwa huyu dada kwa wapenzi wa Isidingo!!.
mara baada ya team za pande mbili kuendelea kushamiri katika mitandaoni hali hii imewanyima nafasi wasanii wengine wa bongo kufanya vizuri nyimbo 10 ambazo zimeshidwa kufanya vizuri 2016 ni hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.