Tunalizungumziaje kuibuka kwa Tuzo za EATV-AWARDS-2016

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
823
Mchongo wa kijanja kwa sasa ni EATVAWARDS-2016.
Karibia hapo kesho na Eatv Chanel na Eatv Redio na kufuatilia categories zote ambazo zitakuwepo.
1471522255516.jpg

Kuwa karibu na TV yako sasa!!
 
za kilimanjaro zilifiaga wapi? wawe makini na double standards watu wapewe tuzo kwa haki zao sio mashabiki upepo *****
 
Wamepata sponsorship ya Voda
Voda wanaweza amua weka 15mil kwa kila tuzi
 
Back
Top Bottom