Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
1,714
442
Ipo wazi kwamba these guys ndo wanaorun bongo kwa sasa kwa 'mijisong' yao matata ya malovee,ambapo kila dude linaloachiwa hewani kwao ni 'hit'.wote wanamashabiki lukuki bongo na Africa mashariki kwa ujumla,hicho ndo kimenisukuma kutaka kujua nani zaid ya mwenzake kati ya hawa.

¤DIAMOND>
Hit songs from 2011-Moyo wangu,Mawazo,Nimpende nani,collabo vs linex(ntaificha wapi sura yangu),etc.

¤ALIKIBA>
Hit songs from 2011-Mapenzi yanarun dunia,Dushelele,Single boy,collabo vs omy dimpoz(nai nai),etc.

##NAOMBA KURA YAKO...

Leo jumapili 07/07/2013 kulikuwa na kipindi cha nani zaidi hapo radio one kati ya watoto wawili wa ilala na marafiki pia yaani Ally Kiba "for real " Diamond "platnumz" .

Mpaka mwisho wa mpambano Ally Kiba ameibuka mshindi baada ya kupata kura 26 za simu dhidi ya kura 12 za Diamond. Binafsi nimenote mambo mawili . Mosi ni kuwa Ally Kiba bado anaendelea kupendwa nafikiri kutokana na nyimbo zake na pia kutokana na kutokuwa na kashfa katika maisha ya kawaida nje ya muziki na jambo la pili Diamond bado ni kipenzi cha wadada maana katika hizo kura 12 alizopata takribani 9 zilikuwa za wanawake
UPDATES
=============
Screenshot_2014-07-26-10-20-32.png

Msanii na Producer anaetamba na Bolingo kwa sasa Bob Junior "Sharobaro" leo ameongelea ama kutoa ushauri kuhusu kutokuelewana kati ya wasanii wawili wa Bongo Fleva Ally Kiba na Diamond Platnumz, Amesema kuwa Ally Kiba ni Best Vocal na Best Artist in Bongo na Africa hivyo amemtaka Mdogo Mdogo ambae kwa jina la wimbo yani Diamond kumuheshimu Ally Kiba, Pia ameendelea kwa kumwambia Ndagushima kwa jina la wimbo yani Ommy Dimpoz kwamba ugomvi huo haumuhusu hivyo asitafute kiki kupitia Beef hiyo.

bb.jpg


Nanukuu "BIFU SIO KITU KIZURI UNAJUA ALIKIBA NI BEST VOCAL ANAJUA AKIFANYA CHO KUJIINUA SO UKIMYA WAKE USIKUFANYE WW KUMTUKANA KIIVYO NA KUMSEMA VIBAYA ATA WW #NGAGUSHIMA HILI BIFU WW ALIKUHUSU ACHA KUTAFUTA KIK KUPITIA BIFU ZA WATU ALIKIBA UR THE BEST AND MY BEST ARTIST IN BONGO AND AFRIKA SO WW #mdogomDOGO
ALIKBA ITS UR BROTHER MUHESHIMU BHANA"
 
Hawafai hawa wanyama!!!halafu hawana vitambi yaani hapo ndo wanapowameza wanyama wengine!!!!much respect kwa kiba na jembe langu la ukweli platinumz!!
 
kwa haraka-haraka ukimsikiliza Diamond unaweza ukasema he is the best from heaven..sikatai he is good!!

nyimbo za Diamond ziko too delicate na hazitofautiani sana...na ni rahisi kuzichoka mapema!!

Ally Kiba mwanzoni niliku anamuona tu wa kawaida...ila dogo ni jembe na ana safari ndefu sana y akimuziki..graf yake inapanda...
diamond ameanza kulipua..na trust me akitoa nyimbo 3 mbele zenye mandhari kama ya mawazo/nimpende nani..hatafika mbali!!!
 
Hawafai hawa wanyama!!!halafu hawana vitambi yaani hapo ndo wanapowameza wanyama wengine!!!!much respect kwa kiba na jembe langu la ukweli platinumz!!
umenena vyema Muuza Sura...jamaa wote wakali aisee japo tunasikia mitaani hawaelewani sijui kama kuna ukweli kwa hili au habari za mitaa!!!
 
Hawafai hawa wanyama!!!halafu hawana vitambi yaani hapo ndo wanapowameza wanyama wengine!!!!much respect kwa kiba na jembe langu la ukweli platinumz!!

Ha haaa vitambi tena, unautani na watu wewe ngoja peter msechu na mpoki na wenzie wakuskie.
 
Back
Top Bottom