Diamond Platnumz, Ludacris na Swizz Beatz washiriki kwenye jambo hili…

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,208
Diamond platnumz ni moja ya wasanii wa Bongo fleva
ambao ndoto zao kubwa ni kuhustle kuufikisha muziki
wa Bongo katika sehemu ambazo ilikuwa ni ndoto
kufika. Tukiwa tunasubiri ujio wa ngoma yake mpya
na Neyo, Diamond, Ludacris, Swizz na wengine kibao
waungana.

Siku ya ijumaa waliungana pamoja kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Usher kupitia kurasa zao za Instagram. Siku ya Jana Diamond aliungana na wasanii wakubwa kama ludacris, Swizz Beatz na wengine kumtakia heri
ya kuzaliwa Usher, na kwa upande wa Diamond platnumz yeye aliandika hivi, “Happy Birthday Bro…
Can’t wait for our Big day! @usher,”

so tusubiri makubwa kwenye hili.
 
Hahahahha kuungana katika kumtakia heri ya kuzaliwa bwana usher bas muungamo mwema
 
jana kuna mtu aliniambia kamuona anakunywa diet coke ikabidi nika search google kama mastaa wakubwa nao wanatumia diet coke,waoooh aisee nilishangaa kumbe wanatumia
kwa hiyo nachukua fursa hii kumpongeza chibu dangote kwa kuungana na mastaa wenzake wakubwa wa dunia kunywa diet coke
 
Inatupa furaha kuona wa kwetu hapa nchini anatoa salamu za hivyo...kama vile nae anaishi nao huko daunitauni wapi sijui....

Tufurahie wa kwetu
 
Diamond platnumz ni moja ya wasanii wa Bongo fleva
ambao ndoto zao kubwa ni kuhustle kuufikisha muziki
wa Bongo katika sehemu ambazo ilikuwa ni ndoto
kufika. Tukiwa tunasubiri ujio wa ngoma yake mpya
na Neyo, Diamond, Ludacris, Swizz na wengine kibao
waungana.

Siku ya ijumaa waliungana pamoja kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa Usher kupitia kurasa zao za Instagram. Siku ya Jana Diamond aliungana na wasanii wakubwa kama ludacris, Swizz Beatz na wengine kumtakia heri
ya kuzaliwa Usher, na kwa upande wa Diamond platnumz yeye aliandika hivi, “Happy Birthday Bro…
Can’t wait for our Big day! @usher,”

so tusubiri makubwa kwenye hili.
Nae anazngua,
Wish km io km dem anatoa kwa bae wake bhana...
Ova mchuchu kawa engaged then anamwambia hubby hapat pcha siku ya wedding..
Uzungu wa kuiga jau...
Angecopy na kupaste alchoandka baba keys ingekua poa tu...
 
We chokoraaa daunitauni maana yake nini? Born town sio dauni tauni sawa wewe

Wewe ndio mshamba chwiiiiii unajua nini wewe hata kwa kiswahili changu ungeelewa kaa na u oni tauni wako.... eeeh kituko chokaraaaa kwisha jichimbie kabla sechi downtown kwa nilichoongelea...hiloooo

Umejiona unajua aaaaaagh, bonge la kimbele mbele kuniwekea neno ambalo nilikuwa siliongelei...kwenda mbele na teke chokarwaaaaa wewe
 
Back
Top Bottom