Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Rapper Country Boy ameahidi kuwa mwakani atafanya mambo makubwa ikiwemo kuleta tuzo ya kimataifa. Ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza na mtangazaji wa Kings FM, Prince Ramalove. “Inshallah tuombe...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Diamond amedai kuna wasanii wengi wa kimataifa Afrika na nje ya Afrika wametaka kujiunga na WCB lakini amewakatalia kwa kuwa anatka kukuza wa nyumbani kwanza Pia amesema sasa hivi hawachukui...
5 Reactions
64 Replies
12K Views
Jiti hilo alilolishikilia mrefu akiwa anaimba jukwaan haijajulikana sababu ya msingi ya kulishikilia hivyo limeibua maswali ambayo hayana majibu hivyo limezua gumzo nchini south africa na hisia...
7 Reactions
66 Replies
8K Views
Usiku wa jumamosi ya October 22, 2016 Johannesburg Afrika kusini ndio siku ambayo zilitolewa tuzo za MTV kwa wasanii waliofanya vizuri ila wasani wa Tanzania walikuwa katika category nane Kama...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Anaitwa Imelda Mtema ni mwandishi wa habari wa global publisher. Huyu anajifanyaga ana urafiki na mastaa wa bongo movie lakini kumbe akigeuka nyuma anaenda kuwaandika vibaya kwenye magazeti ya...
4 Reactions
38 Replies
12K Views
Habarini wana jamvini. Leo toka asubuh nimekuwa nikisiliza vipindi mbali mbali katika radio yetu pendwa ya clouds fm, na moja ya vitu nilivosikia kutoka kwa watangazaji mbali mbali wa station hyo...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Ni aibu sana wasanii wa 5 toka Nchi kubwa. Yenye Rais anayependwa Africa. Madini mbali mbali na vingenevyo. Kwenda katika Mashiriki ya MTVMAMA's na kutokuumbulia kitu. Ni Aibu, tujifunza; 1...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Msanii wa Uganda eddy kenzo asema kuna namna inafanyika kuamua washindi wa mtv mama na si upigaji wa kura maana kwenye kipengele change yeye ndo alikuwa na kura nyingi akifuatiwa na mr. Flavour...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C usiku wa jana alikamatwa na jeshi la polisi maeneo ya Kinondoni Manyanya almaarufu ‘Kinondoni kwa Mpemba’ jijini Dar es salaam baada ya kupiga makelele...
7 Reactions
305 Replies
68K Views
By Paul Meara Hip-hop seems a little itchy lately as everyone seems to have a problem with something everyone is doing. Beefs you never thought would happen, like Meek Mill vs. Beanie Sigel...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Naona ni wakati sahihi wa tuzo zinazotolewa ndani ya bongo waige mfumo wa tuzo za mtv kura si kigezo sana cha msanii kushinda tuzo ukiangalia hapa bongo ndo tunachobugi Mfano kwa bongo wasanii...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
'number don't lie' , kuna ubishani wa muda muda mrefu baina ya diamond na ali kiba huku kila shabiki akivutia upande wake, zifuatazo ni takwimu za ulinganifu baina ya alikiba na diamond
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Ilikuwa ni patashika katika lile jiwanja bora kabisa la ndege barani Afrika yaani Julius nyerere airport pale mmiliki wa vyombo vya habari vinavyobamba downtown bwana le mutuz alipoonekana na...
8 Reactions
37 Replies
8K Views
Wadau naomba tutabiri vichwa vya habari vya kesho magazetini hasa yale ya rangirangi.. Mimi naanza na hivi. 1.Simba ala nyasi,,ashindwa kujizuia aangua kilio ukumbini baada ya kukosa tuzo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jana tumeshuhudia utolewaji wa tuzo kuwa kabisa barani Afrika za MtV MAMA award, ambapo Kwa Mara ya kwanza wasanii wengi kutoka Tanzania walitajwa kuwania tuzo hizo. Lakini cha ajabu na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkongwe huyo wa mziki ameyasema maneno hayo katika kipindi cha MY PLAYLIST knachotushwa na clouds tv, aidha amesema kuwa Alikiba ni mwanamziki anaejielewa, mwenye sauti nzuri na anejua kuitumia...
4 Reactions
34 Replies
6K Views
Habari za hapa wakuu, kuna hii kitu imesumbua fikra za watu wengi sana. Nikaona Leo niilwte humu tujuzane kwa kina! Kuna wimbo ameimba dully Sykes na huyu dogo Harmonize, sasa inasemekana sana...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Wakati Jana utoaji wa tuzo za MTVMama ambazo zimetolewa Afrika Kusini na ambazo hakuna Mtanzania hata moja aliebeba tuzo ,usiku huo huo wa Oct 22 kuamkia Oct 23 nchini Marekani kulikua pia...
1 Reactions
68 Replies
9K Views
AY,Diamond,Harmonize na Dj D Ommy washinda tuzo za AEA za Marekani.: AY,Diamond,Harmonize na Dj D Ommy washinda tuzo za AEA za Marekani. - millardayo.com
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom