Kwanini clouds haipigi nyimbo za wasanii walioomba msamaha japo iliwasamehe??

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,449
Katika vitu ambavyo huwa naishangaa clouds fm ni kutopiga nyimbo za wasanii ambao ilishagombana nao huko nyuma.kama mnavojua ile Antivirus volume one na two,kwa kweli clouds walitukanwa sana mle ndani,sikutegemea kama ipo siku wale wasanii wataomba msamaha kwa jinsi walivokunya kwenye zile nyimbo.
Alianza Sugu,aliomba msamaha akasamehewa lakini nyimbo zake hazipigwi clouds na wala hapewi show za clouds,
Wakaja Mapacha,hawa hadi leo nawashangaa sana.waliomba msamaha ,wakasamehewa lakini nyimbo zao hazipigwi clouds na show hawapewi,wanauza tu fulana masikini ya mungu.
Na sasa kaja Jay dee,nae anaomba msamaha kwa ujanjaujanja,nae atasamehewa ila hatapigiwa nyimbo,wasanii wa bongo ni hovyo sana,hawana misimamo kabisa.sasa nawasubiri hawa wafuatao ,nao watasamehewa ila wasahau kupigiwa nyimbo zao.kuna Dani msimamo,Adili hisabati,mkoloni wa wagosi wa kaya,Suma G na Rubby.na huyu Rama dee,nina uhakika kawekewa tego na Ruge.juzi Ruge kasema moja ya wasanii anaopenda nyimbo zake ni Rama Dee.sasa kwa ushamba wa wasanii wa bongo usishangae Rama dee akaomba msamaha kwa sababu tu kasikia nyimbo zinapendwa.atasamehewa ila hatopigiwa ngoma zake.nadhani Ruge anapenda tu kuwachoresha wasani
 
Lady jaydee.una msingizia.hajaomba msamaha huo unaosema wa ujanja ujanja.
 
Watu mnawapa tu kichwa wasanii wakiitisha show hamuendi mnategemea wale nn afadhali Jd wale wengine tuwasapoti kivitendo sio maneno kinamtu alisema ukitaka kula lazima uliwe kidogo
 
Mbona mie nilisikia nyimbo za sugu zinapigwa mkuu,hiyo clouds unaypsikiliza wewe ni ipi?
 
Sugu aliwaomba msamaha Clouds FM? Ndio leo unanipata taarifa.
 
mtoa mada sugu hawezi kuwaomba msamaha mawingu ana hela kuzidi asilimia 99 ya wasanii wote tanzania
 
Acha kuwakosea heshima sugu na jay dee

Labda hao mapacha ndo hata matangazo yao ya show hakuna
 
Kwanza Sugu hakuomba msamaha.

Halafu jiulize hao wasaniii unaowasemea kuwa waliomba msamaha na nyimbo zao hazipigwi, je before walikuwa ni hitmaker? Nyimbo zao zilikuwa zinapigwa kiasi gani? Je, sasa hivi wana nyimbo zinazoweza take atention ya watu? Mbona hatuwasikiii ingawa kuna stesheni zingine?;

Watu hawakupi show tu eti sababu uliomba msamaha, je una nguvu y kuvuta mashabiki waje kukuangalia?, music ni biashara piiaa
 
kwahiyo wewe unakaaga kutwa nzima clouds kungoja mziki wa sugu,jide rama dee????
em nifahamishe hapa karibuni hao wametoa ngoma gani??
halafu kwa jide bado hawajapanga playlist
hivi wasameheane leo ,kesho mziki hewani??? wakati vipindi vinapangwa!!!!

watazipiga tu ,kama wakitoa mpya pia wataweka
 
wewe nawe umedata, unakesha clouds unasubili nyimbo za adili, suma G, na mkoloni? ebu nitajie kwanza hizi nyimbo zao.
 
Kwanza Sugu hakuomba msamaha.

Halafu jiulize hao wasaniii unaowasemea kuwa waliomba msamaha na nyimbo zao hazipigwi, je before walikuwa ni hitmaker? Nyimbo zao zilikuwa zinapigwa kiasi gani? Je, sasa hivi wana nyimbo zinazoweza take atention ya watu? Mbona hatuwasikiii ingawa kuna stesheni zingine?;

Watu hawakupi show tu eti sababu uliomba msamaha, je una nguvu y kuvuta mashabiki waje kukuangalia?, music ni biashara piiaa
mi nashangaa tz yani ukigombana na mwenye chombo eti umegombana na chombo kizima. hili ni tatzo na wala mi naona clouds wanakosea na cku moja itawacost hata kama c kwa sasa. m naona mawingu wanaubaguzi sana ndio mana hata kuwackiliza asa hv cckilizi kbsa mana coni kipya zaidi ya ubaguz tu
kwahiyo wewe unakaaga kutwa nzima clouds kungoja mziki wa sugu,jide rama dee????
em nifahamishe hapa karibuni hao wametoa ngoma gani??
halafu kwa jide bado hawajapanga playlist
hivi wasameheane leo ,kesho mziki hewani??? wakati vipindi vinapangwa!!!!

watazipiga tu ,kama wakitoa mpya pia wataweka
 
Katika vitu ambavyo huwa naishangaa clouds fm ni kutopiga nyimbo za wasanii ambao ilishagombana nao huko nyuma.kama mnavojua ile Antivirus volume one na two,kwa kweli clouds walitukanwa sana mle ndani,sikutegemea kama ipo siku wale wasanii wataomba msamaha kwa jinsi walivokunya kwenye zile nyimbo.
Alianza Sugu,aliomba msamaha akasamehewa lakini nyimbo zake hazipigwi clouds na wala hapewi show za clouds,
Wakaja Mapacha,hawa hadi leo nawashangaa sana.waliomba msamaha ,wakasamehewa lakini nyimbo zao hazipigwi clouds na show hawapewi,wanauza tu fulana masikini ya mungu.
Na sasa kaja Jay dee,nae anaomba msamaha kwa ujanjaujanja,nae atasamehewa ila hatapigiwa nyimbo,wasanii wa bongo ni hovyo sana,hawana misimamo kabisa.sasa nawasubiri hawa wafuatao ,nao watasamehewa ila wasahau kupigiwa nyimbo zao.kuna Dani msimamo,Adili hisabati,mkoloni wa wagosi wa kaya,Suma G na Rubby.na huyu Rama dee,nina uhakika kawekewa tego na Ruge.juzi Ruge kasema moja ya wasanii anaopenda nyimbo zake ni Rama Dee.sasa kwa ushamba wa wasanii wa bongo usishangae Rama dee akaomba msamaha kwa sababu tu kasikia nyimbo zinapendwa.atasamehewa ila hatopigiwa ngoma zake.nadhani Ruge anapenda tu kuwachoresha wasani
Yahaya, joto as it a, ndi ndi ndi zilifanya vzr sana ndani na nje ya nvhi, kwa level aliyofikia jide ni ngumu kumshusha, nyimbo zote zilieika bila clouds, au kuna asiyeukua wimbo was yahaya? Au ndi ndi ndi? C kwrli
 
Kama tvE ikija vizuri na kupromote wasanii sana kama clouds nafikiri huji kaa usikie hizo bifu.

Sasa hivi clouds ni halali yao kuringa na kufanya watakalo kwasababu hawajapata mpinzani wa kweli kwenye burudani!!

Tulitegemea east africa iwe mbadala lakini nao ukiangalia vipindi vyao vingi havina ushawishi wa kumfanya mtu aendelee kutazama kwa wale wapenda burudani
 
We huna chochote unachokijua upo upo tu.

Thibitisha lini na wapi Sugu aliomba msamaha kwa clouds media!!!

na uthibitishe lini ulimsikia Jide akiomba msamaha kwa Clouds Media maana wote tunajua mtu wa kwanza kutaka yaishe alikuwa ni Ruge na alisikika live kwenye xxl we umekurupuka huko sijui Umekula maarage ya wapi.
 
mi nashangaa tz yani ukigombana na mwenye chombo eti umegombana na chombo kizima. hili ni tatzo na wala mi naona clouds wanakosea na cku moja itawacost hata kama c kwa sasa. m naona mawingu wanaubaguzi sana ndio mana hata kuwackiliza asa hv cckilizi kbsa mana coni kipya zaidi ya ubaguz tu
Antivirus; "cloud fm, redio ya wafuuuu", " Watangazaji wenyewe mashogaa"

lady jaydee; "sitaki clouds wapige nyimbo zangu, hata jina langu sitaki walitaje"

Then what is your point brother.
 
haha et sugu aliomba msamaha... kwanini udanganye watu ivyo? Ni Ruge na kusaga ndo waliwaomba Tundu na mbowe ili awakutanishe na sugu waongee lugha moja..Acha ujinga
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom