Ukweli Mtupu: Haya ndio yanayotegemewa kushika hatamu na masikio ya Watanzania kwa muda mrefu

youngdonats18

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
685
443
Bila kupinga uwepo wa kazi nzuri ya muziki ya Darasa kwa sasa, lakini ninaamini itakapotokea Diamond kushirikishwa na Wema kwenye bongo movie ama Alikiba na Platnumz wakitoa collabo, huku Ommy dimpoz akiwa video model ndani ya mwaka huu basi ndo matukio yatakayojizolea umaarufu mkubwa na kufunga mwaka kwa headlines.

Japo cjui kati ya collabo ya Wema na Dee na ile ya Ali na Dee ipi itauza sana na kutengeneza vichwa vya habar na kuzungumziwa zaidi.
 
Kumbe na wewe unaamin kick zao. Hata waamue watoe series na wema na huyo mwingine washirikishane album nzima. Kwangu n bure. Hao jamaa wanapatana ile ile yan
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom