The Return of Dogo Janja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The Return of Dogo Janja

Discussion in 'Celebrities Forum' started by steveachi, Aug 13, 2012.

 1. steveachi

  steveachi JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 4,127
  Likes Received: 1,725
  Trophy Points: 280
  inakuaje wadau??,mazee huyu dogo amenivutia sana hasa alivyoimba lile dude lake jipya na p.n.c chini ya marco challi,mnaonaje progress yake atatisha hapo mbeleni maana yake kuna muda alivyokuwa chini ya watoto wa manzese,tip top alitaka kupotea fulani hv kwenye game
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mi si mpenzi sana wa bongofleva lakini hii ngoma nimeikubali. PNC killed it. Dogo Janjaro always on point as usual.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  we ni mpenzi sana wa nini??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. serio

  serio JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
 5. kay 18

  kay 18 Senior Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pnc kaua sana humo ndani
   
 6. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Dogo janja ft pnc-Ya Moyon.
  Chorus>>> Wala mi sina hila,
  ila nafsi yangu yanituma.
  kusema ya Moyoni.wala sina kisasi namshukuru Mola,
  Huko niliko toka na sasa nilipofika..
  mtanashati hasa,natiririsha ngoma,
  Mtanashati hasa nakinukisha hasa..

  Vina vya dogo janja>> kesi zangu naziacha Mungu atawasomea..
  Jasho langu kwenye shamba lao walilifanya mbolea,
  Hawakujali niliko tokea,
  Shida zote kujibebea,
  Wakanifunga akili huku miguu ikitembea,
  Mama akasema mwanangu kaza msuli,
  Ukitaka kuzikwa na watu vua koti la ukiburi,
  Ila wewe jeuri kiburi,
  Mimi sio mzuri pesa ndo kiburi,
  kudai haki yangu kumejenga uadui,
  Napenda madui zangu
  Na ndugu zangu siwabagui,


  www.hulkshare.com/83zavcmczjwg
   
 7. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #7
  Aug 21, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  aminia janja kamua achana na huyo raisi asiyepigiwa kura pumbafuu.
   
 8. magnifico

  magnifico JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2016
  Joined: Jan 14, 2013
  Messages: 2,893
  Likes Received: 2,148
  Trophy Points: 280
  Nadhanh hiki ndio kinachoendelea kwa Ruby. kujazana ujinga.
   
 9. princess ariana

  princess ariana JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2016
  Joined: Aug 19, 2016
  Messages: 4,445
  Likes Received: 5,905
  Trophy Points: 280
  wimbo wa kwanza kuupenda wa dogo janja ni kidebe
   
 10. warumi

  warumi JF-Expert Member

  #10
  Dec 11, 2016
  Joined: May 6, 2013
  Messages: 13,485
  Likes Received: 4,469
  Trophy Points: 280
  Yes, dogo ana weza, nimependa swagga, naona kakua sasa, young Dee ajipange, naona janjaro kawa mcharo sasa
   
Loading...