Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Imebainika kuwa yule msakata kambumbu katika club ya Genk uko ubeligiji Mbwana Ally Samata alimuomba fumu muuza nyago na mjasirimali Gigy Money. Gigy money amedai kuwa Samata alimtumia e.mail...
1 Reactions
124 Replies
40K Views
Mwanadada maarufu mitandaoni, Mange Kimambi, ameyaandika yafuatayo kwenye ukurasa wake wa Instagram kufuatia sakata la Wema Sepetu kuitwa Polisi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda...
11 Reactions
335 Replies
36K Views
Ndivyo alivyojitambulisha leo hii.Sasa kama anaendelea kujiita Mnyama ataacha kweli uteja?!!!
0 Reactions
22 Replies
6K Views
sijaona mshiriki kutoka Tz mwaka huu,kulikoni ebu nifahamisheni maana sioni mbwe mbwe zozote za watz kama ilivyo kawaida yetu
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wasalaaam wakuu, Nimemsikia msanii anaitwa Ibrahnation, Sikuwahi kumsikia kabisa lakini nimepata kazi zake mbili hivi na nimeletewa na mtu. Sasa nilitaka kujua; Ametokea mkoa gani na kwa sasa...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Huku tukiwa tunamalizia weekend yetu mubashara, nimejikuta nakumbuka tu maneno ya msanii wa mziki wa bongo flaver ,Chid Benz kwamba hana nauli ya kwenda central kuitilia wito wa mkuu wa mkoa wa...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Huyu jamaa ametoa nyimbo na underground kama reynavvy na kuweka record ya viewer million mbili ndani ya siku mbili. Sasa hii ya sasa hivi katoa na msani mkubwa tena anajulikana dunia nzima lakini...
3 Reactions
111 Replies
13K Views
Teh teh teh nauliza tu jamani kama huyu jamaa naye ana bodyguard sababu mara nyingi tunamuona diamond kila anapoenda ni lazima utamuona akiwa na njemba inayomlinda lakini kwa Alikiba sijawahi...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Wadau huyu dada alikuwa ananivutia sana, Vipi ameachana na muziki sasa hivi?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa Dar es salaam kupitia Account yake ya Instagram Ameandika Ujumbe unaotafsiriwa ni kama kuwajibu wakosowaji wote ambao wanabeza na kudharua kile anachokifanya. Katika Ukarasa wake wa...
10 Reactions
105 Replies
12K Views
Sina maana ya kumchukia Wema Sepetu, ila navyomona ni mtu wa kawaida tu kama wengine, kuna mastaa kibao bongo wanaofahamika kwa kazi zao na wanapendwa kawaida tu. Sasa linapokuja suala la Wema...
4 Reactions
89 Replies
11K Views
2016 was the year I became a fan of Charlamagne. Knew the dude before I knew TBC, through Mtv's Guy Code, but never really felt his vibes then. Now I fcuks with him, mainly for his taste for...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Alikuwa akihojiwa kwenye kipindi cha U Heard na kudai haoni kosa kwa kuwa kuna watu wanajiita Simba, Dudu baya ina ni majina ya wanyama lakini kwa kuwa ni yeye amemuita Harmo Rappa Nyani wanaleta...
3 Reactions
55 Replies
15K Views
Masogange alipohojiwa na gazeti la mtanzania alikuwa na haya ya kusema; "Kwanza mimi nimeokoka, halafu huyo Makonda hata sijawahi kuonana naye ana kwa ana zaidi ya kumuona kwenye vyombo vya...
10 Reactions
117 Replies
20K Views
ALIYEKUWA Meneja wa Mrembo wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Martin Kadinda, amempongeza mwanadada huyo kwa kubadilisha mfumo wa maisha yake. Akizungumza jana, Martin alisema kitendo cha Wema...
3 Reactions
87 Replies
16K Views
Namkubali dai kwa nyimbo hizi Lala salama My number one Utanipendanga Nitarejea Nyingine zooooote kwangu ni blabla
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Akihojiwa kwenye radio ya Times fm now, Msanii mkongwe nchini,lady jaydee amesema kuwa yeye haoni tatizo kwa wasanii wanaotumia kiki kwani kila mtu ana strategies zake kwenye muziki...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…