Martin Kadinda: Wema Sepetu amebadilika hadi raha!

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279

ALIYEKUWA Meneja wa Mrembo wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Martin Kadinda, amempongeza mwanadada huyo kwa kubadilisha mfumo wa maisha yake.

Akizungumza jana, Martin alisema kitendo cha Wema kufuta picha zake kwenye mitandao ya kijamii na kubadili tabia za kuweka wazi maisha yake ni hatua ya kupongezwa.

“Uamuzi alioufanya Wema ni hatua nzuri na ya kupongezwa, mimi na familia yake hatukuwa tukipendezwa nayo kwa kuwa ilikuwa ikichafua jina lake,” alieleza Martin.

Martin aliongeza kwamba Wema ambaye amebadili meneja kwa sasa, amekuwa tofauti na alivyozoeleka maana amekuwa muelewa na msikivu kwa anachoelekezwa.

Chanzo: Swahili News
 
Kwa usawa huu inabidi abadilike hamna wahongaji tena
 
Like everyone hasn't seen her ass before. Make it newsworthy when she shows something she hasn't
shown yet, like class maybe?
 
ALIYEKUWA Meneja wa Mrembo wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Martin Kadinda, amempongeza mwanadada huyo kwa kubadilisha mfumo wa maisha yake.

Akizungumza jana, Martin alisema kitendo cha Wema kufuta picha zake kwenye mitandao ya kijamii na kubadili tabia za kuweka wazi maisha yake ni hatua ya kupongezwa.

“Uamuzi alioufanya Wema ni hatua nzuri na ya kupongezwa, mimi na familia yake hatukuwa tukipendezwa nayo kwa kuwa ilikuwa ikichafua jina lake,” alieleza Martin.

Martin aliongeza kwamba Wema ambaye amebadili meneja kwa sasa, amekuwa tofauti na alivyozoeleka maana amekuwa muelewa na msikivu kwa anachoelekezwa.

Chanzo: Swahili News
Naelekea Uzeeni sasa lazima niwe na utulivu~
Sababu kuishi kwingi ni kuona mengi~
Kuelimasha watakaobaki~
Waishi kwa heshima.
 
Na bahati mbaya dimond ndio kashazama kwa zari..papuchi nayo inazidi zeeka..asipojipanga magu atampanga..
Naona hata yale mashauzi ya bday yamekata kabisa..
We acha tu sasa hivi hana inshu tena.
 
huyo Martini si ''mtoto wa watu" huyo.......alafu ndo manager....!!!!!!!!!!
 
Mtaji papuchi..blue,tid,kanumba,luis,jumbe,chaz baba,mngeja,ck,bob junior,dimpoz,mkongo,diamond,sultan..nk.
lazima atakuwa anajipaka mafuta ya korosho papuchini kuzuia kutu fangasi.
na huyu dogo wa juzi calisah unamuachaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom