Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Ulitaka ampraise nani?Uzuri wa Young Killer ni muwazi. Hajataka kuzunguka,kaenda direct kwamba ni kweli alikuwa inspired na Dogo Janja.
Ila kuna baadhi ya wasanii wakishapata majina,basi wanadhani kumpraise msanii ni kwingine ni jambo la ajabu.
Mfano Joh Makini.
Joh makini ni mtu wa kubebwa kama chapati kwenye sahani, jaribu kufatilia watu wote wanaobebwa wanakuwaga na nyodo sanaUzuri wa Young Killer ni muwazi. Hajataka kuzunguka,kaenda direct kwamba ni kweli alikuwa inspired na Dogo Janja.
Ila kuna baadhi ya wasanii wakishapata majina,basi wanadhani kumpraise msanii ni kwingine ni jambo la ajabu.
Mfano Joh Makini.
Dogo janja meno yenyewe yameoza ataweza kushindana na msodoki