Lady Jaydee: Huwa sitegemei 'kiki' kwenye nyimbo zangu

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,422
Akihojiwa kwenye radio ya Times fm now,
Msanii mkongwe nchini,lady jaydee amesema kuwa yeye haoni tatizo kwa wasanii wanaotumia kiki kwani kila mtu ana strategies zake kwenye muziki,

Alipoulizwa kwa upande wake hilo swala likoje, Msanii hyo alitiririka kuwa yeye hajawahi kutegemea kiki kwenye kazi zake, huwa anatoa nyimbo bila kiki na zinafanya vizuri.
 
Aisee atakae chukia na achukie,jay dee na kiki ni sawa na chai na vitafunio.(kiki inambeba sana na anaipenda na kuitegemea sana)
 
Back
Top Bottom