Steven mushi mushi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 533
- 739
Teh teh teh nauliza tu jamani kama huyu jamaa naye ana bodyguard sababu mara nyingi tunamuona diamond kila anapoenda ni lazima utamuona akiwa na njemba inayomlinda lakini kwa Alikiba sijawahi kumuona hata siku moja akiwa na bodyguard na ndio maana nauliza kama naye ana bodyguard wa kumlinda.