Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,367
Sina maana ya kumchukia Wema Sepetu, ila navyomona ni mtu wa kawaida tu kama wengine, kuna mastaa kibao bongo wanaofahamika kwa kazi zao na wanapendwa kawaida tu.
Sasa linapokuja suala la Wema naonaga anapendwa kwa jinsi alivyo tu kiasi kilichopitiliza..
Najiona tofauti sana, Hivi Wema mnampendea nini??
Sasa linapokuja suala la Wema naonaga anapendwa kwa jinsi alivyo tu kiasi kilichopitiliza..
Najiona tofauti sana, Hivi Wema mnampendea nini??