TID ni shujaa, jasiri na "mnyama"

Vitu vingine tusishabikie kisiasa kwani watu wote waliotajwa kwenye orodha ya makonda wanahusika na madawa ya kulevya,asiyewahi kumuona TID anatumia madawa alikua anabisha kwakua hakumuona.Lakini tuliyemuona TID anatumia madawa kwa macho yetu Tulinyamaza kimya.
NB;Kama hujawahi kuwaona watuhumiwa wanatumia madawa haimaanishi ni uongo,bila hata kulazimisha watuhumiwa wote ama wanatumia au wanauza sema wengine tuliamua kukaa kimya tu
 
**** hujapata ndugu muathirika wa madawa au hujakabwa na mateja lazima tu utabeza vita hii.
Mfano upo kwa RAY C,kutibiwa kote kule lakini karudia,halafu watu wanatetea wauzaji
 
Akiacha kabisa itakuwa jambo zuri sana

May Almighty God help him.
 
Mi nakumbuka jisong lake tu asubuhi SAA moja kasoro miaka ile"kama wanipenda ninunulie zeze nikilala kitandani zeze lanibembeleza
 
Back
Top Bottom