Hii imekaje kwa mzee wa kuvunja rekodi wa viewer!!

bizzle11

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
246
198
Huyu jamaa ametoa nyimbo na underground kama reynavvy na kuweka record ya viewer million mbili ndani ya siku mbili. Sasa hii ya sasa hivi katoa na msani mkubwa tena anajulikana dunia nzima lakini mpaka sasa video hajafikisha million 1 tatizo nn!! Na sasa hivi hawaongelei issu ya viewer
1486484830249.png
 
Asee now mda mbaya
Kuna
Trump
Makonda na madawa
Kigwangala na delicious wake
Hamoraper
Tundu lissu kukamatwa
Ishu ni nyingi nadhan timing imekuwa mbaya na views wana fuatilia mambo mengine

Ila kweli Diamond baba ya muziki views laki 8 kwa siku 5 kwake inaonekana kafeli!!
 
Huyu jamaa ametoa nyimbo na underground kama reynavvy na kuweka record ya viewer million mbili ndani ya siku mbili. Sasa hii ya sasa hivi katoa na msani mkubwa tena anajulikana dunia nzima lakini mpaka sasa video hajafikisha million 1 tatizo nn!! Na sasa hivi hawaongelei issu ya viewerView attachment 468153
Jamaa kamkataza asinunue si unajua tena mbele uko
 
Sasa hivi hawezi kufanya janjajanja unversal huwa hawapendi ujinga,hii ndio ilikuwa page yake aliyokuwa anatumia ma robort ya Google kuongeza watazamaji
ff2ebbac5276709a8b5fe5d0ab7979ac.jpg

Hii chini ndio page ya sasa ambayo iko chini ya uangalizi wa unversal huku hawezi kutumia ma robort
11b1051e0ec3915ac878c2ac2d6189d5.jpg
 
Ukiangalia pale utakutana na njia nyingi za kuplay hiyo video..vip umekusanya viewers wote na kujumlisha ukapata hiyo namba
 
timing haikua nzur managemnt yake nafikir kuhusu release date naona ilipangwa na universal
 
Sasa hivi hawezi kufanya janjajanja unversal huwa hawapendi ujinga,hii ndio ilikuwa page yake aliyokuwa anatumia ma robort ya Google kuongeza watazamaji
ff2ebbac5276709a8b5fe5d0ab7979ac.jpg

Hii chini ndio page ya sasa ambayo iko chini ya uangalizi wa unversal huku hawezi kutumia ma robort
11b1051e0ec3915ac878c2ac2d6189d5.jpg
Umeongea point lakin ungetoa hilo neno marobot ndo ingekuwa points zaid, ukwel ndo huo kwa video hii amebadil ac ndo maana viewers sio wengi coz subscribers pia sio wengi.
 
Back
Top Bottom