Hapa ndio aliimba diamond

mjukuum

JF-Expert Member
Dec 8, 2014
5,258
2,840
Namkubali dai kwa nyimbo hizi
Lala salama
My number one
Utanipendanga
Nitarejea
Nyingine zooooote kwangu ni blabla
 
Acha maneno weka ukimuona
Ikiisha weka lala salama
kisha ongeza kizai zai
halafu badili weka lala salama
pia usikose kusikiliza nalia
 
Binafsi tofauti na lala salama sina wimbo wake ambao huwa natenga mda wangu kusikiliza muziki wake tofauti na alizo shirikishwa Kama yule jamaa wa kwa Mugabe japo diamond salute Sana kimataifa anatufanya turinge nasisi
 
Hayo maoni na mtazamo wako unataka kumshawishi nani naye awaze kama wewe?
 
Back
Top Bottom