BBA TANZANIA 2017 VEPEE??

BBA TANZANIA 2017 VEPEE??

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,466
sijaona mshiriki kutoka Tz mwaka huu,kulikoni ebu nifahamisheni maana sioni mbwe mbwe zozote za watz kama ilivyo kawaida yetu
 
Natamani aende Gigy Money awagawie wote mjengoni
 
Hiyo ya Naija.

Ikianza ile ya wote tunampekeka Gigy Money akatangaze kipaji halisi cha Tanzania.
 
Back
Top Bottom