Chid Benzi: Sina nauli ya kwenda Central, nitumieni nije

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Huku tukiwa tunamalizia weekend yetu mubashara, nimejikuta nakumbuka tu maneno ya msanii wa mziki wa bongo flaver ,Chid Benz kwamba hana nauli ya kwenda central kuitilia wito wa mkuu wa mkoa wa Dsm ndg Paul Makonda kuhusu sakata la madawa ya kulevya. Amesema yeye haendi kwakuwa hana nauli, labda wamtumie.

Wenye nauli zao walishareport na kuhojiwa na kupewa mashart au maelekezo.

asante
 
Back
Top Bottom