Here he is dancing to Future's 'Mask off', my fave joint at the moment followed by T-shirt [Migos] and Both [Gucci Mane feat Drake].
I've gotta admit...he kilt it. The boy can bend in all kinds...
Staa wa filamu za Kibongo, Wema Isaac Sepetu akiwa katika Mahakama ya Kisutu leo.
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na wenzake wawili...
Miss Kagera mwaka 1999, Miss Bridgitte Buyuya alifariki dunia siku ya tarehe 26/05/2017 na kuzikwa siku ya leo tarehe 30/05/2017 katika makaburi ya Bunena, Manispaa ya Bukoba.
Marehemu alizaliwa...
Msanii Young Killer ambaye siku za karibuni ameachia wimbo wake mpya akiwa na Mr Blue amefunguka na kusema kuwa ikitokea Chief Kiumbe amempa gari hawezi kukata sababu hakuna mtu ambaye anapenda...
Leo kwenye Jahazi la Clouds fm Benpol amefunguka na kudai kuwa kile ambacho alikilenga katika kupiga picha hizo kimefanikiwa kwa asilimia 100%.
Benpol amefunguka kuwa picha zile zina maudhui...
Nampenda Sana Huyu Mdada Yvona Kamuntu Jinsi Anavyotangaza Taarifa Ya Habari Hasa Akiwa Sambamba Na Gwiji La Utangazaji Charz Hirar. Hakika Wananoga Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji118]
Aliyeimba
Kama wanipendaa aah nipe mgongo,nipande unibebe mpaka kwa mama,usichoke Dada nibebe tararibu.
Halafu
Chagua mwenyewe.
Jamaa sijui kapotelea wapi enzi hizi star tv walikuwa wanampa...
The truth about Diamond, Zari and Ivan’s relationship
Friday May 26 2017
Diamond Platnumz, Zari Hassan and her late ex-husband Ivan Ssemwanga who will be buried next week on Tuesday as his body...
Anasema kujapewa sumu bali alipata stroke BP ikapanda ikapelekea damu kumwagika kwenye ubongo.
Daktari akasema hawezi kurudia kama kawaida.
Madaktari walitaka kumfanyia operation ila presha ikawa...
Could it be fake news?
====
Enough is enough’ as actress reveals she’s HIV-positive – Houston News
Decades of debauchery have finally caught up with one of Hollywood’s top megastars after...
Siku chache baada ya aliekuwa mume wa Zari kufariki, aliibuka mzee Herbet Lunyinda uncle wa IVAN na kujitambulisha kama baba wa Ivan huku akisema hawamtambui Zari na hahusiki na chochote.
Lakini...
Hi,habari zenu ndugu zangu,
Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie...ninataka kuwa kwenye bendi ya muziki....bendi kama zile za msondo,the spirit ya vitalis maembe..nadhani utakua umepata picha...ila...
Zamaradi Mketema ameandika sehemu..
Natamani sana siku moja atokee mtu kwenye hii sekta atutambulishe hata kama sio kimataifa basi africa tu. R.I.P KANUMBA alianza kuonesha mwangaza na juhudi...
Acha nikupe ubuyu, Mzee Yusuf akiwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa leo ametoa ya moyoni kuhusu wake zake wawili. Taarifa za chini ya kapeti zinasema mashabiki wamefanikiwa kuwaweka wake hao...
Shetta na Diamond Platnumz walikuwa washikaji sana na muda mwingi walikuwa wakionekana pamoja hata katika post za mitandao ya kijamii, Muda mrefu kwa sasa washikaji hatuwaoni kama zamani na...
Naandika uzi huu kwa niaba ya Watanzania, kumhusu Madam Wema Sepetu, mlimbwende wa zamani wa Tanzania, akishinda Taji hilo mwaka 2006 mbele ya Jokate Mwegelo, mjasiriamali, msanii wa filamu...
Rest in perfect peace Ivan
Umenitoa chozi na sijuani nawe. Video clip ni post ya mwisho akiwa Uganda alirusha tarehe 11 May 2017. Uliwapenda sana sana watoto wenu wa kiume 3 na kuwajali na...